Kuuliza si ujinga jamani kirefu Cha MV Nini?

Marine maana yake ni maji/bahari vessel ni kifaa/chomboo cha kusafiria kinachoelea juu ya maji.

Mfano Summarine/Nyambizi haiwezi kuitwa vessel sababu inapita chini ya maji/inazama wakati inasafiri.

Asante sana kamanda..
 
Jamiiforums ni kisima cha maarifa na elimu lakini watu wachache wapenda mizaha wanaharibu hiyo maana nzima!!!...
 
Aisee hata hiyo smartphone/laptop uliyonayo bado haijakusaidia chochote mkuu!!!

Fanya haraka mbadilishane na mama kule kijijini yeye atajua jinsi ya kuitumia!
 
Back
Top Bottom