Kuuliza si ujinga bali kutaka kujua

nimebadika juzi

Senior Member
May 29, 2015
183
29
Habari zenyu,

Mim naomba kujuzwa hili tumeckia rais ameenda kuaga wahisani lakini nchi nyingi anazoaga ni hizi za magharibi mfano Marekan na Denmark pamoja nchi za ulaya mfano Sweden, Uingereza, na nyingine za mashariki ya mbali mfano China n.k.

Je, hakuna nchi za kiarabu ambazo zilikuwa ni wahisani wa nchi yetu?

Naomba kufahamishwa

Asanteni.

Habari zenyu,

Mim naomba kujuzwa hili tumeckia rais ameenda kuaga wahisani lakini nchi nyingi anazoaga ni hizi za magharibi mfano marekan na denmark pamoja nchi za ulaya mfano sweden,uingereza,ufaransa,na nyingine za mashark ya mbali mfano china n.k.Je, hakuna nchi za kiarabu ambazo zilikuwa ni wahisani wa nchi yetu?

Naomba kufahamishwa

Asanteni.

Mwezi huu ni ulaya na india...
Mwezi ujao nchi za africa...
Mwezi wa nane nchi za asia...
Mwezi wa tisa america kusini...
Muda upo mkuu, acha papara...
 
Mwezi huu ni ulaya na india...
Mwezi ujao nchi za africa...
Mwezi wa nane nchi za asia...
Mwezi wa tisa america kusini...
Muda upo mkuu, acha papara...
sasa na huku kwetu Ikwea,saliwaya,namba kumi,Itaka,saligona,twatwatwa,Tabora n.k itakuwa lini..mbona kwenye list hata Dar haipo.
 
Habari zenyu,

Mim naomba kujuzwa hili tumeckia rais ameenda kuaga wahisani lakini nchi nyingi anazoaga ni hizi za magharibi mfano marekan na denmark pamoja nchi za ulaya mfano sweden,uingereza,ufaransa,na nyingine za mashark ya mbali mfano china n.k.Je, hakuna nchi za kiarabu ambazo zilikuwa ni wahisani wa nchi yetu?

Naomba kufahamishwa

Asanteni.

Au za africa pia ivi si kuna email anaweza kutuma basi tu uharibifu wa mali za umma izo gharama zingeweza kuchangia vitanda hosp. na madawati shuleni
 
Kwenye bajeti yetu nchi za ulaya na marekani ndio zonachangia sehemu kubwa kuliko nchi za asia isipokua Japan.

Kwa hiyo ameanza na wahisani wakubwa kisha ataenda kwa wahisani wadogo,kila nchi ina msaada kwa nchi nyingine, hata somalia wana msaada kwetu ingawa hatuwezi kuuona moja kwa moja.
 
Msaada kama upi mkuu?
 
Udini ndiyo unaikufanya usinenepe chunga sana!!!
Isitoshe hilo kamuulize kibabu atafanyaje kulipa fadhila atakapopigwa chini oktoba kwa kuwa kawaahid kuingiza ush....g....a hapa nchin
 
Back
Top Bottom