sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Hayo makamari ya kwenye simu mi huwa siyaamini sana.. Nishaliwa karibia elfu 50 kutuma msg..
Hivi nani kawahi kuwaona live au hata kwa picha, washindi wa kila wiki wakiwa old traford, au hata kuona tiketi za safari.. Au picha zao wakiwa ndani ya OT??