Kuuliza ni kujifunza.. Nani amewahi kuwaona washindi wa shindano la airtel "mimi ni bingwa"??

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Hayo makamari ya kwenye simu mi huwa siyaamini sana.. Nishaliwa karibia elfu 50 kutuma msg..

Hivi nani kawahi kuwaona live au hata kwa picha, washindi wa kila wiki wakiwa old traford, au hata kuona tiketi za safari.. Au picha zao wakiwa ndani ya OT??
 
Mi bado sijawahi ona may be bado wanachezesha.
 
endelea kushiriki mm mwenyewe nilikuwa nangoja wewe ushinde ndio niamini
 
ka! ka! ka! ka! ka! ka!

umenistua sichezi tena.. We cheza ukishinda ka vipi ukamwambie Rooney Tanzania kipaji chetu ngono!
 
Nani sasa unamuuliza
nenda offisi zao zinapatikana tanzania nzima kawaulize na siyo kuja hapa kusumbua watu eti nani aliyewahi kuwaona sasa sisi tunajuaje wakati ukishinda anapigiwa simu yeye kama yeye wapigie customer care na ndio maana kukawa na dawati la wateja
Hayo makamari ya kwenye simu mi huwa siyaamini sana.. Nishaliwa karibia elfu 50 kutuma msg..

Hivi nani kawahi kuwaona live au hata kwa picha, washindi wa kila wiki wakiwa old traford, au hata kuona tiketi za safari.. Au picha zao wakiwa ndani ya OT??
 
Nachukia sana lile tangazo lao la jiunge ss na ulimwengu wa mabingwa,
wezi tu wa ccm hao,
 
Nani sasa unamuuliza
nenda offisi zao zinapatikana tanzania nzima kawaulize na siyo kuja hapa kusumbua watu eti nani aliyewahi kuwaona sasa sisi tunajuaje wakati ukishinda anapigiwa simu yeye kama yeye wapigie customer care na ndio maana kukawa na dawati la wateja

Duuh! Mkuu sio ugomvi!
 
Mm huwa naskia matangazo tu redioni, usikute hata hao man u hawajui kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom