Kuulamba mkanda nnje!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i1151_1.JPG


mambo hayo!
 
huyo lazima atakuwa anafanya biashara sana maana alivyovaa hata kama wewe sio mnywaji wa kahawa utavutiwa, he is creative,ni tactics nzuri ya biashara, nadhani akiwezeshwa atakuwa mjaasiriamali mzuri,
 
Eeeeeeeeeeeeeheeee, hata huku kwetu jijini M kuna wajasiriamali wawili wanafanya kazi ya kuuza majani ya chai. Huwa wanapita mitaani wakiimba nyimbo nzuri sana kwa sauti wala hawahitaji spika, hivyo watu wakiwaona huwa wanavutiwa sana na kununua majani hayo ya chai.

Hata huyu kwenye picha ni moja ya ubunifu wake. Si mnaona hata baadhi ya ma-MC kuna mmoja huku kwetu kwenye sherehe moja hivi alivaa suruali ndefu mpaka kifuani kama huyu wa kwenye picha ila alichoongezea yeye ni mikanda minne ya suruali kuanzia kifuani mpaka kitovuni. Aisee alikuwa bomba kinoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom