Kuugua Mwakyembe wazee wa Kyela waja juu

Kuna mtu anaweza kunipa takwimu za JK kuiwa amesha enda Mbeya kuwashukuru wananchi kw akumchagua mara ngapi ? NImekumbuka bada ya wazee wa Kyela kuja juu .Naombeni taarifa kama kuna kumbukumbu wakubwa
 
hawa wazee kamba tu! Kama wale wazee wa Kihehe, walivyoipiga mkwara serikali na kuipa wiki mbili kuelezea kifo cha Balali, na kusema la sivyo "wataporomosha" wale wote waliohusika na kifo cha Balali!! wako wapi sasa!!

Wazee walikuwa zamani kwani walikuwa wanasema na kutekeleza, na hata Nyerere aliwajua ("tambuka" kwa Mzee Tambaza!)
 
ni kuonyesha kukosa imani na serikali yao.
i bet kikwete is smilling when he hears this kind of news. anasahau kitu kama hii kina reflect nini kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom