Well, if confirmed inanikumbusha TANU 1958 na 1963. Hili limeachwa kwa muda mrefu mno hadi limefika hapa. Lilitakiwa lisipate nafasi ya kufika hapa kabisa.
Nimepitia tena hii mada na kuiangalia tena na tena na kuangalia kama kuna kitu ningerekebisha; sikukiona. Naisimamia kwa 100%
Nionavyo ni kwamba huu mgogoro wa chama chetu ni sehemu ya migogoro ambayo imekiimarisha chama na kukifikisha hapa kilipo. Kama Mwanakijiji alivyosema mwanzo kuwa jeshi la Tanzania linaaminika kuwa ni jeshi lenye nguvu hasa kutokana na nidhamu yake, basi hata CHADEMA ni kimekuwa chama chenye nguvu zaidi ikilinganishwa na vyama vingine vya upinzani Tanzania kutokana na kulinda na kutunza nidhamu ndani ya chama.
Sio mara ya kwanza kwa chama kuchukua hatua kama hii, tofauti tu ni kwamba walioguswa kwa sasa ni bigger fish ukifananisha na waliokwisha kuguswa kabla. Hali kama hii ikitokea kwa vyovyote vile lazima chama kionekane kama kina msukosuko fulani lakini baada ya muda hurusi katika uimara na kustawi zaidi.
Ukimaliza kusoma nidhamu ya chama na nidhamu ya demokrasia muelekeo umekwishajionyesha! Subira Huvuta kheri!Mtu ukishajua anasimamia upande gani hakupi shida.
This is politics. Kuna watu wanajifanya pundits lakini the truth of the matter ni kwamba wako kwenye "marketing".
Huwezi kufanya upembuzi yakinifu kabla hujafanya declaration of interest, ili wasomaji wawe aware wanasoma mawazo ya mrengo gani.
This analysis will not be neutral.
Ukimaliza kusoma nidhamu ya chama na nidhamu ya demokrasia muelekeo umekwishajionyesha! Subira Huvuta kheri!
Ni matumaini yangu, makala itasaidia kunielewesha juu ya tofauti kati ya Nidhamu ya uoga na nidhamu halisi.
Itaelezea kwa kina je kutokutii Amri haramu ni sehemu mojawapo ya nidhamu?.
Je nidhamu ya kijeshi ni Universal?, kwamba hiyo hiyo ndiyo inayotakiwa katika orgization za kisiasa, au hata bureaucratic institutions?.
Na pia Itasaidia kuelezea mchakato wa haki, ni utaratibu gani ambao ni mujarrab wa utoaji haki kwa mwanachama, ili isije ikawa kutofautiana na mwanachama fulani ikachukuliwa kuwa umetofautiana na Chama kizima.
kazi nzuri mmkj...
Ila nikukumbushe kuwa nchi yetu haina mfumo wowote, either wa siri au wa wazi wa kulea na kukuza viongozi. Tusitarajie kupata viongozi bora kama tumewalea hovyo hovyo.
Hawa vijana wa sasa wenye tamaa ya hali ya juu ya madaraka hawana nidhamu ya uongozi, hawakulelewa kokote kule kuwa viongozi. wengine walibatizwa kwa moto, kwa kupata ubunge wakati wakiwa hawajawahi hata kuajiriwa.
Kwa mfumo huu tutegemee nchi yenye viongozi duni zaidi miaka ijayo, hasa sisi vijana wa sasa...
Nakubaliana na wewe lakini siku hizi katika mgogoro ndani ay CDM umeonesha upande waziwazi.
Tatizo lako Mzee Mwanakijiji kupitao coments zako,like unazotoa kwa wachangiaji hasa wanaoponda Zitto na wenzake inaonesha wazi uko upande gani hauko neutral. hivyo wanaofurahishwa na bandiko lako hapa ama hawafutailii michango yako katika mitandao mbalimbali!
Katika taarifa ya Zitto kuvuliwa nyadhifa aliandika hivi.
Pia katika huu uzi (ulioleza muhimu wa kUfanya mabadiliko ndani ya CDM uliolenga kuonesha kuwa akian Ziito hawafai ) ulinadika hivi
Hii sahihi yako Kinana hajakupigia? Maana mikumi si haba
Mzee Mwanakijiji
...nasubiri pia kujua nafasi ya HEKIMA NA BUSARA...
This will apply if, and only if, Zitto will get a fair treatment.
At the moment it doesn't look like Chadema "owners" are willing to handle this matter democratically in accordance with the constitution.
The true colors of Chadema are now evident and what was once thought to be anti-chadema propaganda is proven to be a reality.
Chadema is going down.
be blessed my dear TRUE CITIZEN..Mtu ukishajua anasimamia upande gani hakupi shida.
This is politics. Kuna watu wanajifanya pundits lakini the truth of the matter ni kwamba wako kwenye "marketing".
Huwezi kufanya upembuzi yakinifu kabla hujafanya declaration of interest, ili wasomaji wawe aware wanasoma mawazo ya mrengo gani.
This analysis will not be neutral.
Naona uwezekano mkubwa Mzee Mwanakijiji kama binadamu akajikuta ana badili baadhi ya maandishi yake yajayo ili aonekane neutral.
Acheni kumshawishi na kumlazimisha awe kinyume na msukumo wake hivyo kuharibu makala ambazo naamini tayari amekwisha andaa vitu vingi.
Mwenye hoja apangue alichoandika na si kumtaka awe neutral kwenye issues zinazohitaji msimamo mmoja tu.