Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA - 6 - HITIMSHO NA MAPENDEKEZO

U mean yuko TOO LOCAL
pamoja na visafari vya Ujerumani na Malysia ?

VISAFARI vya mkakati,,si unaona kwenye ule waraka Dr kitila alisema mambo mengine inabidi wayaongelee nje ya nchi.! Na huyo mshabiki mchumia tumbo wa Lowassa anakuja hapa anasema Pro-CDM hawawawezi kumuelewa Mzee MM.!! Akasahau kuwa anamtukana na pandikizi wao bora angekuwa subjective.
 
Nafikiri mwanakijiji alitakiwa kuielezea historia kwa kutanabaisha chanzo halisi na sio kua address matokeo. Katiba kwa misingi yake haiwezi tatua matatizo kama wanaoisimamia hiyo katiba ni walewale. Tumeona nchi nyingi za afrika zimekua na katiba nzuri, lakini hiyo hiyo katiba inafanyiwa amendments, mchana na usiku kutwa ili kukidhi vijibeberu, mfano tumeona M7 akibadirisha terms za uongozi na pia rumours zikizagaa ndani ya chama hicho hicho unachokishauri kutengeneza katiba, kuondo vijipengele vinavyowazuia kutoshika hatamu.

Binafsi nafikiri ungeitendea haki historia, kwa kutanabaisha kwanini kiongozi wa CHADEMA ni hero na anapewa kudos zote na anakuja kuonekana msaliti tu pale anapowania uenyekiti ama kwa namna moja ama nyingine pale inapoonesha kwamba anahatarisha uenyekiti wa Mbowe? Mfano:

a) Chacha Wangwe alikuwa mpiganaji na kamanda mzuri wa CHADEMA, lakini alipouwania uenyekiti akaitwa msaliti anatumiwa na CCM, hadi kuvuliwa uenyekiti. Lakini alipofariki, na kwa sababu wenda hakuna hatari tena ya uenyekiti, alirudishiwa tena heshima ya ukamanda na upiganaji. Nafikiri ungetunyanyambulia kama huyu bwana alikuwa kweli msaliti ama lah

b) Zitto naye ni vile vile kamanda mpaka tu pale alipowania uanyekiti ndo kawa msaliti na anatumiwa na CCM.
c) Kitila mkumbo naye, ndo alikuwa anasifiwa sana, kwamba msomi wa kuigwa, mwenye uelewa na mtalaam ambaye anapaswa kuigwa na wana CCM. Lakini, gafra tu baada yakuonesha kutia hatiani uenyekiti naye kaonekana ndo wale wale CCM msaliti, sio msomi nk.
Points zangu a,b na c nikutaka kuonyesha kwamba vyanzo vya mfarakano sio kama unavyotaka kuaminisha wasomaji, unless labda una address vijana walioifahamu CHADEMA mwaka jana.

Mgogoro wa CHADEMA huu upo pale siku nyingi, ni mgogoro ule ule ambao watu wenye nia dhabiti kwa wananchi wanashindwa kuvumilia. Huu mgogoro hautaisha maana ni kama mchezo wa kijiti mmoja anakimbia na kijiti akiwa hana wa kumsapoti anakiweka chini anajitoa kwenye mchezo. Akija mwingine akikiona kile kijiti naye anakichukua anakimbia nacho asipoona washirika anakiweka chini anaajitoa ktk mchezo. So long as kijiti kipo, na mchezo unaendelea, huu mgogoro hautaisha.
Mgogoro wa CHADEMA umeanza kwa Kaburu, kaja Wangwe kaja Zitto na Kitila....., hivyo sifikiri kama ni sawa kua address na conclusion as per Zitto or Kitila.
Hakuna binadamu mwenye njaa na akawa mstaarabu. Ndivyo hivyo, hakuna nidhamu sehem pasipo na haki. Utaweka ma baraza ya nidhamu wee lakini kama hakuna haki hakuna wa kufuata hiyo nidhamu.
 
hata msomi zitto nae ni wa kawaida..leo unamsaliti!!!

acha kupotosha, amesema 'wengi'......naamini na wewe kwa hoja zako utakuwa mmojawapo, wengine ni g.lema, sugu, mbowe, saa9 nk
zito, dr kitila wala mwigamba wamegoma kuwa miongoni mwenu (soma waraka wa mabadiliko 2013 ili ujitambue)!!
 
Hii conclusion ya mwanakijiji nafikiri haendeni na content ya maelezo yake mwenyewe. Binafsi maelezo yake kwa asilimia kubwa na ambayo yamezaa hitimisho lake naweza yajumlisha kutoka kwa maneno yake mwenyewe kwamba ni code of conduct na ethic za uongozi.
Sasa nilichokipigilia mstari hapo juu, sijui mwanakijiji yeye anatafsri moja tu kwamba hiyo ni pale tu kiongozi anapoacha kushirikiana na chama ama kuwania uenyekiti.

Mwanakijiji, naamini uko marekani, na umeona hicho nilichokipigilia mstari jinsi viongozi wa marekani na jeshini walivyotiwa msukusuko kwa kufanya ngono nje ya ndoa, na tena wengine walifanya hizo ngono siku nyingi kabla ya kushika nyadhifa zao waliojiuzo achia.

Wewe ukiwa manager wa kampuni X na ukaajiri mfanyakazi wa kike na baadae ukachapa ngono na huyo mfanyakazi, hii tena inakuwa sio mambo binafsi bali ni breech ya code of conduct na ethic za uongozi, kituo kikubwa.
Wabunge wa viti maalum wanateuliwa kutokana na influence za viongozi, kitendo cha Mbowe kufanya harakati za kimapenzi na mbunge aliyemteua hii si kitu binafsi tu bali ni uvunjifu wa code of conduct na ethic za uongozi, kituo kikubwa. Hii inatoa taswira ya kwamba atakapokuwa Rais je tutaepuka je kuwa na watendajji ama mawaziri wa namna hii?

Mwanakijiji anaelezea suala la nidhamu hasa anapoelezea jinsi jeshi linavyoweza kutoshinda vita kwa sababu ya kutokua na nidhamu ya kushirikiana. Lakini mwanakijiji huyo huyo ana fail miserably, kuonesha jeshi lenye vifaa linavyoweza kufail miserably na kushindwa vita linapokesa nidhamu ya kuchapa ngono. Jeshi lolote duniani haliwezi shinda vita kama halina nidhamu kwenye ndoa. Tumeona jinsi SAMSON alivyoshindwa pamoja na maguvu yake, pale nidham ktk ndoa iliposhindwa kutumika.
 
Nafikiri mwanakijiji alitakiwa kuielezea historia kwa kutanabaisha chanzo halisi na sio kua address matokeo. Katiba kwa misingi yake haiwezi tatua matatizo kama wanaoisimamia hiyo katiba ni walewale. Tumeona nchi nyingi za afrika zimekua na katiba nzuri, lakini hiyo hiyo katiba inafanyiwa amendments, mchana na usiku kutwa ili kukidhi vijibeberu, mfano tumeona M7 akibadirisha terms za uongozi na pia rumours zikizagaa ndani ya chama hicho hicho unachokishauri kutengeneza katiba, kuondo vijipengele vinavyowazuia kutoshika hatamu.

Binafsi nafikiri ungeitendea haki historia, kwa kutanabaisha kwanini kiongozi wa CHADEMA ni hero na anapewa kudos zote na anakuja kuonekana msaliti tu pale anapowania uenyekiti ama kwa namna moja ama nyingine pale inapoonesha kwamba anahatarisha uenyekiti wa Mbowe? Mfano:

a) Chacha Wangwe alikuwa mpiganaji na kamanda mzuri wa CHADEMA, lakini alipouwania uenyekiti akaitwa msaliti anatumiwa na CCM, hadi kuvuliwa uenyekiti. Lakini alipofariki, na kwa sababu wenda hakuna hatari tena ya uenyekiti, alirudishiwa tena heshima ya ukamanda na upiganaji. Nafikiri ungetunyanyambulia kama huyu bwana alikuwa kweli msaliti ama lah

b) Zitto naye ni vile vile kamanda mpaka tu pale alipowania uanyekiti ndo kawa msaliti na anatumiwa na CCM.
c) Kitila mkumbo naye, ndo alikuwa anasifiwa sana, kwamba msomi wa kuigwa, mwenye uelewa na mtalaam ambaye anapaswa kuigwa na wana CCM. Lakini, gafra tu baada yakuonesha kutia hatiani uenyekiti naye kaonekana ndo wale wale CCM msaliti, sio msomi nk.
Points zangu a,b na c nikutaka kuonyesha kwamba vyanzo vya mfarakano sio kama unavyotaka kuaminisha wasomaji, unless labda una address vijana walioifahamu CHADEMA mwaka jana.

Mgogoro wa CHADEMA huu upo pale siku nyingi, ni mgogoro ule ule ambao watu wenye nia dhabiti kwa wananchi wanashindwa kuvumilia. Huu mgogoro hautaisha maana ni kama mchezo wa kijiti mmoja anakimbia na kijiti akiwa hana wa kumsapoti anakiweka chini anajitoa kwenye mchezo. Akija mwingine akikiona kile kijiti naye anakichukua anakimbia nacho asipoona washirika anakiweka chini anaajitoa ktk mchezo. So long as kijiti kipo, na mchezo unaendelea, huu mgogoro hautaisha.
Mgogoro wa CHADEMA umeanza kwa Kaburu, kaja Wangwe kaja Zitto na Kitila....., hivyo sifikiri kama ni sawa kua address na conclusion as per Zitto or Kitila.
Hakuna binadamu mwenye njaa na akawa mstaarabu. Ndivyo hivyo, hakuna nidhamu sehem pasipo na haki. Utaweka ma baraza ya nidhamu wee lakini kama hakuna haki hakuna wa kufuata hiyo nidhamu.

hili nalo lina ukweli kabisa,,,pamoja na hayo mwanakijiji alitoa mlango wa kuishibisha hoja yake.
 
Back
Top Bottom