Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 954
- 510
Leo umeonyesha ni jinsi gani usivyokuwa bendera fuata upepo kama vilaza wengine wa chadema wanaokubali kuongozwa na kuburuzwa na akili fupu huku matusi wakiweka mbele kuwakashifu akina zitto bila kuangalia madhara yake. Kwa kuwe wewe ndio ulioandika waraka huu na wewe wanachadema wanakukubali sana angalau hutapata sana matusi lakini kama waraka huu ungeandikwa na mtu mwingine sasa ungekuwa umeshaogolea matusi mengi sana. Hongera sana MM kwa kuzungumza fact, namna hii chama kitaimarika sio kwa kuoneana haya.