Kuuawa Daniel John Katibu wa CHADEMA Hananasif Kuna watu 3 wanashikiliwa miezi 3 sasa polisi bila kupelekwa mahakamani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
KUTEKWA, kuteswa na kuuwawa kwa Daniely John Katibu wa CHADEMA Hananasif, zipo taarifa kuwa Jeshi la Polisi Dar es Salaam linawashikilia watu 3 juu ya tukio hilo, miezi 3, sasa, Kituo cha Oysterbay, bila kuwafikisha mahakamani. Polisi waseme uchunguzi umefikia wapi!
 
Kwa hiyo chadema mnataka waachiliwe au?
 
Kwa hiyo chadema mnataka waachiliwe au?

..kama wanahusika wapelekwe mahakamani.

..kama hawahusiki waachiliwe.

..lakini ukiona kimya ujue wahusika wameshindwa uchunguzi wanatafuta njia ya kutokea.
 
Chadema mumeanza you know the killer yale yale ya chacha wangwe.Chadema mnatakiwa kuwa suspect number one

Umemwelewa mleta hoja hii lakini?? Anasema, kwa muda wa miezi 3 kuna watu wanasota rumande ya Polisi bila kupelekwa Keko au Segerea kwa kosa la mauaji.
Je, kisheria hii ni haki??
Si Chadema wala cha nani. Swali ni Je, hii ni haki?? Wapelekwe mahakamani au waachiwe. Si ni rahisi tu??? Haki ni kuwapeleka mahakamani au wawaachie. Hapa usilete siasa tafadhali. Kuna mtu anaumia hapa.
 
Wangekuwa ni wahusika wangekuwa ndani Maana wanavomnyima usingizi Jamaa
Dereva wa Lisu chadema mumemficha na hamtaki ahojiwe why? Na hawa mnatetea kulikoni? Chadema chadema what you are doing hata mjinga aweza elewa.
 
Back
Top Bottom