Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,732
Nilijua wewe fundi garage mwenzangu mzee mama... bila shaka nimekushushia heshima sio?Siko serious ni utani.
Nilijua wewe fundi garage mwenzangu mzee mama... bila shaka nimekushushia heshima sio?Siko serious ni utani.
Kazi yoyote ya halali haiwezi kumshushia mtu heshima,hujanishushia heshima ile comment niliandika kukutania sikuwa serious uwe na amani ndugu.Nilijua wewe fundi garage mwenzangu mzee mama... bila shaka nimekushushia heshima sio?
Sina amani ushaniharibia siku...nakudai.Kazi yoyote ya halali haiwezi kumshushia mtu heshima,hujanishushia heshima ile comment niliandika kukutania sikuwa serious uwe na amani ndugu.
Haya niambie kama kuomba msamaha nijiandae,vipi nimeharibu siku yako leo?Sina amani ushaniharibia siku...nakudai.
Wala huhitaji kuniomba msamaha...dai langu ni kunirudishia siku yangu niliyokuwa nayo kabla haijaharibika.Haya niambie kama kuomba msamaha nijiandae,vipi nimeharibu siku yako leo?
Tatizo hutaki kusema why siku yako imeharibika nataka kujua chanzo cha tatizo ili niweze kuirudisha siku yakoWala huhitaji kuniomba msamaha...dai langu ni kunirudishia siku yangu niliyokuwa nayo kabla haijaharibika.
Fanya haraka kabla hatujakamatwa.
Wewe hautaki kunisaidia....nakutunza ili niitwe mgonjwa wa akili.Tatizo hutaki kusema why siku yako imeharibika nataka kujua chanzo cha tatizo ili niweze kuirudisha siku yako
Kuna makopo mengine ni mazuri yanapendezesha jiko... ukiliangalia unajisemea hili nitali recycle..unkosa cha kuweka unajidanganya litapata tu.
bbade eti unakubali nawe mgonjwa wa akili?
Unahitaji matibabu au unaupenda ugonjwa wako?Huu Ugonjwa nahisi ninao...yale makopo yako ya Yoghurt ukiyatupa naendaga kuyarudisha, nikitegemea utakuja oteshea maua.
Unahitaji matibabu au unaupenda ugonjwa wako?
Teh...mimi ni nani hadi niweze kukudai...unanifanya nisiweze kudai.Hayo matibabu nalipia au?
Maana.....
Teh...mimi ni nani hadi niweze kukudai...unanifanya nisiweze kudai.
Nikikuambia uache Jellybeans utakubali?Kumbe wewe ndio tabibu? Hapana basi acha niendelee na ugonjwa wangu.....ukitaka kuisaidia..acha kula hizo makitu
Nikikuambia uache Jellybeans utakubali?
Utanionea.
Afadhali.
Ukubali nikutibu sasa.
AiseKuna vitu vingine ananunua babe mfano nguo unavaa hadi inachanika ama inakubana ila kuitupa inakuwa ngumu unaacha tu uwe unaiona ufurahi
Aise
Wiki hii na mpango wa kutembelea watoto yatima kwenye mmoja ya vituo mkoani Dodoma hizo nguo Fanya nizipate iwezekanavyo mtarajiwa.Kulikoni mtarajiwa
Anhaa usijali mtarajiwaWiki hii na mpango wa kutembelea watoto yatima kwenye mmoja ya vituo mkoani Dodoma hizo nguo Fanya nizipate iwezekanavyo mtarajiwa.