Kutunza vitu usivyotumia Ni ugonjwa

Basi mimi mgonjwa,kuna nguo nimenunua hata sijawahi zivaa,some time nashtukia kumbe nilinunua hii nguo?
 
Kuna ki bikini cha X wangu bado nnacho inaezekana nami ni chizi hebu nkakitupe uchizi uishe aiseee
 
Kuna mzee wangu yeye kajaza mascraper kibao nyumbani, baiskeli zilishaota kutu. Magari mawili yalishaoza. Matorori.

Sasa siku moja nimepigika nikamwambia mzee haya makorokoro si bora nikawaite wale wanunua vyuma chakavu nitatue shida zangu... Weeee kidogo ninaswe vibao
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom