Kutumia simu huku unacharge kuna madhara yoyote

lucz

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
218
41
Habari zenu wana jf. Naomba kuuliza ukiwa unatumia simu huku ukiwa unaicharge kuna madhara yoyote kwa binadamu. Nitashukuru kwa mawazo yenu.
 
Habari zenu wana jf. Naomba kuuliza ukiwa unatumia simu huku ukiwa unaicharge kuna madhara yoyote kwa binadamu. Nitashukuru kwa mawazo yenu.

Hakuna madhara yoyote, hii thread ilishaletwa hapa. kwa kukudokezea.. hakuna madhara yoyote isipokuwa usiweke simu kitandani wakati unacharge na ukalala usingizi.
 
Back
Top Bottom