mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,335
- 1,183
Hakuna haja ya kufanya hivyo. Ndio maana kufaulu kunaanzia divisheni 4. Ingekuwa kufaulu ni divisheni 1 pekee. Kungekuwa na haja ya kuangalia mfumo wa utahini ili jinsi ilivyo ibakie hivyo.
Muhimu serikali izidi kujitahidi kuboresha miundombinu ya kujisomea ili kufikia usawa kwa wote.
Napinga kabisa hoja yako ya kufaulu na divisheni. Kufaulu kwa divisheni 4 sio kufaulu kwa divisheni 1, sijui kama alopata divisheni 4 anaweza kukubaliwa kuingia chuko kikuuu. Pia panapokuja suali la ajira akitokea mwenye divisheni 1 na mwenye divisheni 4 wakiomba kazi moja basi mwenye divisheni 1 ndio anakuwa na chance zaidi ya kupata kazi hiyo, unless kama mwenye divisheni 4 baba yake ni kigogo au anajuana na muajiri. Lakini katika nchi yeyote ile ambapo kazi mtu hupata kwa kigezo cha elimu yake kufaulu pekee tu hakutoshi ila devisheni inakupa advantage.