Kutumia AVGAS(100LL) kwenye gari (Petrol engine)

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,405
1,095
Habari \Forum,
Nina rafiki yangu mmoja huwa anatumia mafuta ya ndege(100LL) kwenye gari lake kwa kuchanganya 50/50 na petroli hii ya kawaida(unleaded) kwa muda sasa zaidi ya miaka mitatu,pia nimeshaona watu kadhaa hasa kwenye rally wakifanya huu mchezo.Je ina madhara kwenye engine?Nimeshajaribu mara chache na gari limekuwa likiperform vizuri tu bila shida yoyote...lakini naogopa kuendelea....pia nimepitia forums zingine kunusanusa,wao wanasema effect zake kubwa zipo kwenye oxygen sensors.Je kazi ya hizi oxygen sensors kazi yake haswa ni nini?
Pia wengine wanadai emmision za engine zinadhuru mazingira(Je hizo ndege haziharibu mazingira?na ni kwanini?
Inaongeza nguvu kweli au ni maneno tu!

Kuna rubani mmoja amewahi kuniambia kwamba amewahi kutumia corrolla ikiwa 100% AVGAS kutoka Soroti-Uganda mpaka taa ilipowaka ndio akaendelea na petroli ya kawaida...Je kuna mwenye uzoefu na hili atujuze?
 
Haya mafuta ya ndege huku kwetu tunayatumia kwenye jiko la kupikia, vilipuzi vyake viko chini sana, kwa magari ya zamani kama landrover 109 hata mafuta ya taa ukiweka gari linatembea ila linakua na miss sana na gari linaloa moshi mweupe
 
Haya mafuta ya ndege huku kwetu tunayatumia kwenye jiko la kupikia, vilipuzi vyake viko chini sana, kwa magari ya zamani kama landrover 109 hata mafuta ya taa ukiweka gari linatembea ila linakua na miss sana na gari linaloa moshi mweupe
Jiko gani la kupikia?.....pia ni nzuri sana kwa kusafishia vyuma...ukiwa na kamswaki ukasugua nayo engine kwa nje ina'ngaa
 
mi nnavojua mafuta y ndege yana higher octanes, hafu kuna mafuta ya ndege aina nyingi, kwa case yako 110LL (110 octanes Low Lead) yatakua yana burn vizuri na ku run smooth ila sidhani kama perfomance na speed itaongezeka
 
aisee hayo mafuta nimazuri sana sana sanaaaa yaani nakumbuka wakati zinatoka toka D4 Watu zilikuwa zinawatesa sana baada ya kuweka mafuta ya magumashi mabovu ya kuchakachua gari zilikuwa zina kuwa na miss sana .

hayo mafuta tuliyapataka kwa singa singa mmoja alikuwa ana gari ya rally tulipiga nayo sana hera mkuu.
maana tulikuwa tunayauza kidogo sana mpaka laki unachanganya kwenye tank ya mafuta yanasafisha vizuri sana systerm ya mafuta na parformance ya engine inakuwa nzuri sana.

mm nawashauri wenye magari ya D4 mnaolalamika sana kuwa magari haya yanasumbua ukipata haya mafuta ww changanya kwenye tank uone maajabu yake.

aisee mwenye nayo au ambaye anaweza akanambia ni wapi naweza yapata
 
Gharama ya haya mafuta ni kiasi gani?
Kama ni mazuri ntakuwa natumia.
 
Jiko gani la kupikia?.....pia ni nzuri sana kwa kusafishia vyuma...ukiwa na kamswaki ukasugua nayo engine kwa nje ina'ngaa

Nadhani hayo ya kupikia ni jet A-1.........kwa Avgas sina uhakika kwenye kupika..........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom