J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 94,105 164,483 Jan 6, 2017 #1 Kiukweli hali ni ngumu sana kwa hawa misheni town maana maafisa wa serikali wanaotumia dhamana zao kupiga dili wanakaribia kumalizwa na JPM
Kiukweli hali ni ngumu sana kwa hawa misheni town maana maafisa wa serikali wanaotumia dhamana zao kupiga dili wanakaribia kumalizwa na JPM
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,039 17,933 Jan 6, 2017 #2 Wapiga dili ndio slogan ya kuficha udhaifu wa awamu hii.