Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,328
Anahusiana nini na nilichokitolea maoni?Kamuelekeze mamako,
Huu ni ushamba wa kale sana kindiga wewe.
Hakuna hicho kitu na ndio maana kuna sheria za JF labda pengine hujawahi kuzisoma.naandika ninachojiskia,
Nikujuze tu kuwa wakati wa mabadiliko ya muonekano hui wa sasa wa JF bwana Max alitolea ufafanuzi juu ya uandishi mreeeefu wa post, uchanganyaji wa hoho, bilinganya, maharage, nyama na makukuru kwenye mlo mmoja n.k
Ni kosa ni nini madhumuni ya uanzishwaji wa hizo English forums sasa?sio kosa kutumia kingereza popote kwenye hii forums,
Kwa taarifa tu hiyo English unayozugia hapa inaweza kuwa ni lugha nayoizungumza kwa ufasaha pengine kuliko hata hii kiswahili.ningeandika kikwetu si ndio ungekufa kabisa...wivu utakuua ndugu,
Andika kikwenu tuone basi ngumbaru wewe