The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani imekuwa ikijikita kurudisha nidhamu ya utumishi wa uma kwa kupitia mkakati wa kutumbua majipu.ni kweli hili ni jambo jema ambalo litaongeza uwajibikaji wa watumishi wa uma.Lakini kutumbua majipu pekee hakutoshi bila kutii kiu ya watanzania ya mda mrefu YA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.matamanio au matarajio ya wananchi wengi kwa serikali hii ni kuboresha maisha.hivyo utumbuaji majipu uendane na kuboresha maisha.hivyo serikali hii inapaswa kufanya mambo yafuatayo ili utumbuaji majipu uwe na maana
1.KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA.ili watanzania wafurahie rasilimali zao ni vema utumbuaji wa majipu uendane na kupunguza gharama za maisha(cost of living).gharama za maisha zitapunguzwa kwa kupunguza kodi kwenye bidhaaa mbali mbali ambazo zinaboresha maisha.serikali itegemee kupata mapato kwenye rasmali tulizozojaliwa na Mungu na si kutegemea kodi kubwa kwenye bidhaa.raslimali tulizonazo ni nyingi ambazo zinaweza kuendeha nchi.
2.KUBORESHA HUDUMA ZA JAMII.Utumbuaji wa majipu ili uwe na maana lazima uambatane na kuboresha Huduma za jamii ambazo zinaboresha maisha ya watanzania kama elimu,afya.maji.
Elimu.serikali iboreshe elimu ambayo itakidhi mahitaji ya sasa.quality education.kuboresha mazingira ya usomaji maslahi ya walimu.n.k.viongozi watoto wao wanapata elimu bora ulaya.
AFYA.Serikali iboreshe Huduma za afya kwa kuboresha Huduma na kupunguza gharama za afya.na kusambaza Huduma mpaka vijijini.nchi ina raslimali nyingi sana.
MAJI.serikali iboreshe Huduma za maji mpaka vijijini uwezekano upo na si kutumbua majipu tu.vijijini wanashare maji na wanyawa.
3.KUBORESHA SOKO LA BIDHAA ZA NDANI.Serikali iboreshe soko LA bidhaa za ndani.wazalishaji wa ndani hawana uwezo wa ushindani wa bidhaa za nje.hivyo serikali iwatengenezee Mazingira kwa kutumia import duties.ili kulinda wazalishaji wa ndani pia itumie kanuni za comparative and absolute advantage.
4.KUBORESHA MIFUMO YA KODI.serikali itengeneze mifumo ya kodi ambayo itakuwa fair.Tanzania wanafanyakazi ndio wanalipa kodi kubwa sana.hivyo utumbuaji majipu lazima uendane na kuboresha mifumo ya kodi mfano ni vema kutumia mfumo wa progressive tax system na tax base iwe comprehensive kodi ilipwe na kila mwenyewe uwezo wa kulipa na kila sector ilipe kodi na pia kodi itumike kupunguza gap kati ya wenye nacho na wasionacho(income inequality) ambalo ni kubwa sana Tanzania.wachache wanafaidi keki ya taifa.
5.RASLIMALI KUMNUFAISHA KILA MTANZANIA.utumbuaji majipu lazima uendane na kutengeneza mazingira ya kila mtanzania kufaidika na raslimali za nchi.Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote Africa lakini watu hawafaidiki na raslimali ipasavyo.gesi mito maziwa bahari misitu.mbuga za wanyawa madini milima.ardhi nzuri.hali ya hewa nzuri
HIVYO UTUMBUAJI MAJIPU PEKEE BILA KUTII KIU YA WANANCHI HAITOSHI
kiu ya wananchi ni kuwa na maisha bora.