Jaribu Moneygram, it is very effectiveUkiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
Tuma kwa bank za bongo exchange rates n nzur zaid ya western union
Mpesa kupitia SendWave App
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
Mkuu hii naona kwenye website yao wanasema ni kutuma kutoka Canada na US to East Africa kuna mtu kashawahi kuitumia hii kutuma kutoka Sweden...? An nchi yoyote nyingine..?Mpesa kupitia SendWave App
WorldRemit wako poa sana wana App pia....unaweza tuma hata kwenye mpesa
Nimedownload hii app ya Worldremit kwenye simu yangu nataka kujaribu kutuma pesa Bongo. Kwa aliewahi kuitumia naomba msaada njisi ya kutumia hii Worldremit,kuna sehemu imeandikwa Mobile Account.......... na chini yake tena kuna confirm...... je kwenye izo space unajaza namba ya cm ya mpokeaji hau!?!?
Mkuu hii naona kwenye website yao wanasema ni kutuma kutoka Canada na US to East Africa kuna mtu kashawahi kuitumia hii kutuma kutoka Sweden...? An nchi yoyote nyingine..?
Naitumia mara kwa mara. Ndio namba ya unaemtumia kama ni Mpesa / EasyPesa au Tigo Pesa inategemeana na umechagua nini
ok kwa hiyo kwenye mobile account naweka namba ya naye mtumia pesa,mana inasema maneno 9 ndio yajazwe ina mana naweka namba tu bila 0 then pale chini kwenye confirm narudia tena hiyo namba niliyo weka..
Yes thus right namba 9 bila 0 then unairudia....sababu +255 is automatic set up
thnx mkuu mm natumaga pesa Bongo na west union ila worldremit naona ata bei za kutuma pesa zipo chini totaufi na west union.
Offcourse huyu Pirate (Msomali) wa world remit yupo fair sana / westernunion wanapunja kwenye rates kwa mfano dollar wanaibadilisha kwa 1900 wakati ni 2150 exchange rate