Kutuma mzigo tanzania

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,397
Naomba mniambie njia rahisi ya kutuma mzigo mdogo kuingia Tanzania kutoka nje kama ASIA,AMERICA.ULAYA.e.t.c,EMS ni ghali kwa kilo moja utoza US $ 25,je kuna njia nyingine tofauti na hiyo ambayo ni nafuu zaidi?
 
Jaribu watu wa ndege bei sio mbaya sanduku la kg 23 inaweza kuwa paundi 80 kutoka Uk kwenda bongo!
 
shukrani Maria..lakini nchi ninayokaa hakuna direct flight to bongo...lazima kutansfer Amsterdam au Doha au Dubai .et.c sasa nifanyeje hapo?
 
Google Nile Cargo, wapo US (Massachusetts), kwa kutuma mzigo toka US!!
Nilishatuma kupitia kwao to TZ.
 
Back
Top Bottom