Kutuma mzigo kutoka Bukoba kwenda Iringa

Uagize kwenye kampuni ya frester mpaka Mwanza then Mwanza mzigo ufaulishwe kwenye kampuni ya Fikoshi ambayo kimsingi ndio inaongoza route ya Iringa to Mwanza kwa uhakika zaidi ndani ya siku mbili kama senene wamehifadhiwa vizuri utawapata Iringa wakiwa hawajaharibika
Mkuu wewe uko wapi kwa sasa?
 
Classic bus kutoka Kampala to Tunduma via bukoba mreba kahama Dodoma kupitia mtera hadi iringa,watumie hao mzingo unafika salama.
 
Asanteni sana wana jf kwa mchango wenu wa mawazo Leo nimeupata mzigo ambao wiki ilopita nilipost uzi hapa naomba msaada namba ambavyo naweza upata mzigo kutoka bukoba..

Nimeupata ambapo umetumwa jana hadi mwanza kutoka bukoba kupitia kampuni ya frester.. Na Leo kutoka mwanza to iringa kwa kampuni ya fikoshi.. Karibuni sana senene wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeupata mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom