Kutuma mzigo kutoka Bukoba kwenda Iringa

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Jun 9, 2019
416
404
Kabla sijapoteza mzigo wangu naomba kwa anayefahamu ruti ya Bukoba to imIringa via Kahama anifahamishe kuna mzigo muhimu unatakiwa utumwe kutoka Bukoba ili niupokee Iringa Mjini kupitia konda wa basi hizo.

Wazo langu la mwanzo niliwaza kuwa apatiwe konda wa gari zinazofika hadi Kahama halafu akifika Kahama amkabidhi konda wa basi zinazotoka Mwanza to Mbeya hizi Isamilo Express.

Sidhani kama nipo sahihi.
 
Alaaaa
ni mm sijaelewa auuu??
Upo iringa, mzigo upo bukoba,
unautaka iringa, na kuna basi za moja kwa moja kutoka bukoba kuja iringa..
lkn ww unataka uuongezee routs ufaulishwe? Au ndio unaulizia gari za one way?

Kabla sijapoteza mzigo wangu naomba kwa anayefahamu ruti ya Bukoba to imIringa via Kahama anifahamishe kuna mzigo muhimu unatakiwa utumwe kutoka Bukoba ili niupokee Iringa Mjini kupitia konda wa basi hizo.

Wazo langu la mwanzo niliwaza kuwa apatiwe konda wa gari zinazofika hadi Kahama halafu akifika Kahama amkabidhi konda wa basi zinazotoka Mwanza to Mbeya hizi Isamilo Express.

Sidhani kama nipo sahihi.
 
Alaaaa
ni mm sijaelewa auuu??
Upo iringa, mzigo upo bukoba,
unautaka iringa, na kuna basi za moja kwa moja kutoka bukoba kuja iringa..
lkn ww unataka uuongezee routs ufaulishwe?

Aloo km nipo sahihi una utani na huo mzigo,
Sina uhakika kama kuna gari ya moja kwa moja ndio maana nimeandika huu uzi nipate ufafanuzi kwa wanaoujua
 
Kabla sijapoteza mzigo wangu naomba kwa anayefahamu ruti ya Bukoba to imIringa via Kahama anifahamishe kuna mzigo muhimu unatakiwa utumwe kutoka Bukoba ili niupokee Iringa Mjini kupitia konda wa basi hizo.

Wazo langu la mwanzo niliwaza kuwa apatiwe konda wa gari zinazofika hadi Kahama halafu akifika Kahama amkabidhi konda wa basi zinazotoka Mwanza to Mbeya hizi Isamilo Express.

Sidhani kama nipo sahihi.
Sasa mkuu hiyo route haipo, yaani basi litoke mwanza kwenda mbeya lipite kahama? Hakuna njia hiyo, hapo cha kufanya huo mzigo utoke bk, hadi dodoma /dar halafu ndio uje iringa, halafu lazima hiyo kampuni utakayotumia toka bk, iwe na route za iringa ili ukifika dodoma/dar waweze kuuhamisha tu, kwani kama huna mtu wa kuufuatilia na kuutuma iringa utapotea, ila kwa kutumia kampuni husika ni rahisi.
 
Sawa mku nimeona kituo kimoja cha wakata ticket hapa iringa zina majina ya mikoa ya bukoba, kahama, Mwanza nikajua tayari kuna mahusiano ya usafiri wa iringa to bukoba
 
Senene zitafika usijali jambo la muhimu usiandike umebeba nini.

Kabla sijapoteza mzigo wangu naomba kwa anayefahamu ruti ya Bukoba to imIringa via Kahama anifahamishe kuna mzigo muhimu unatakiwa utumwe kutoka Bukoba ili niupokee Iringa Mjini kupitia konda wa basi hizo.

Wazo langu la mwanzo niliwaza kuwa apatiwe konda wa gari zinazofika hadi Kahama halafu akifika Kahama amkabidhi konda wa basi zinazotoka Mwanza to Mbeya hizi Isamilo Express.

Sidhani kama nipo sahihi.
 
Don’t risk, nenda bukoba ems utaondoka ATCL mpaka Dar, baadae unakuja Iringa, unaweza kuupata ndani ya siku mbili or so
 
Kabla sijapoteza mzigo wangu naomba kwa anayefahamu ruti ya Bukoba to imIringa via Kahama anifahamishe kuna mzigo muhimu unatakiwa utumwe kutoka Bukoba ili niupokee Iringa Mjini kupitia konda wa basi hizo.

Wazo langu la mwanzo niliwaza kuwa apatiwe konda wa gari zinazofika hadi Kahama halafu akifika Kahama amkabidhi konda wa basi zinazotoka Mwanza to Mbeya hizi Isamilo Express.

Sidhani kama nipo sahihi.
Mimi naweza kukusaidia lakini kama wewe utakuwa huru na amani moyoni mwako. Muda mwingi napatikana Singida au Dodoma kwahiyo naweza kuwa kiunganishi kwa huo mzigo lakini nitakuwa na maswali kwako kabla hatujafanya zoezi.Cheki Pm
 
Isamilo,na Fikoshi hizo zote zinatoka mwanza to iringa na iringa to mwanza kila siku,ila hakuna ya bukoba to iringa.Tafuta office za Isamilo watakupa maelekezo zaidi.
Kabla sijapoteza mzigo wangu naomba kwa anayefahamu ruti ya Bukoba to imIringa via Kahama anifahamishe kuna mzigo muhimu unatakiwa utumwe kutoka Bukoba ili niupokee Iringa Mjini kupitia konda wa basi hizo.

Wazo langu la mwanzo niliwaza kuwa apatiwe konda wa gari zinazofika hadi Kahama halafu akifika Kahama amkabidhi konda wa basi zinazotoka Mwanza to Mbeya hizi Isamilo Express.

Sidhani kama nipo sahihi.
 
Mimi naweza kukusaidia lakini kama wewe utakuwa huru na amani moyoni mwako. Muda mwingi napatikana Singida au Dodoma kwahiyo naweza kuwa kiunganishi kwa huo mzigo lakini nitakuwa na maswali kwako kabla hatujafanya zoezi.Cheki Pm
Nimekuja pm boss
 
Uagize kwenye kampuni ya frester mpaka Mwanza then Mwanza mzigo ufaulishwe kwenye kampuni ya Fikoshi ambayo kimsingi ndio inaongoza route ya Iringa to Mwanza kwa uhakika zaidi ndani ya siku mbili kama senene wamehifadhiwa vizuri utawapata Iringa wakiwa hawajaharibika
 
Dah wanaokula senene jaman wan roho!arghh!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom