Kutuma maombi bodi ya mkopo (HESLB) / udahili ngazi ya cheti na diploma (nacte) 2019/2020


son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
*KUTUMA MAOMBI BODI YA MKOPO (HESLB) / UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) 2019/2020.*

Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha sita na unataka kutuma maombi ya mkopo (HESLB)?

Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha 4 au 6 na unataka kutuma maombi ngazi ya cheti au diploma kupitia NACTE?

Je, wewe ni mtu uliyehitimu au kuendelea na elimu ila ungependa kutuma maombi ya mkopo au kufanya udahili wa ngazi ya cheti au diploma (HESLB)?

Je, unaye mdogo wako au ndugu mwenye uhitaji wa kutuma maombi bodi ya mkopo au udahili ngazi ya cheti kwa mwaka 2019/2020?

*TUNATOA HUDUMA YA KUTUMA MAOMBI YA MKOPO (HESLB) NA UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) POPOTE ULIPO.*

PIA KWA WOTE WENYE UHITAJI WA USHAURI AU MASWALI KUHUSU UOMBAJI WA MKOPO AU UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA 2019/2020 HUDUMA INAPATIKANA.

TUNAPATIKANA UBUNGO, DAR ES SALAAM KWA MAWASILIANO *PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0752026992/ 0737728947.*

N.B. HUDUMA INAPATIKANA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM NA HATA MIKOA MINGINE PIA.

KARIBUNI SANA

0752026992 /0737728947.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
huyu jamaa ni mwizi kuwa na tahadhari , hakuna mtu yoyote anayeweza kusaidia kupata mkopo, mkopo unafuata process zake na masharti yake , kwanza form 4 hawapewi mkopo huyu ni mwizi chukua tahadhari utaibiwa
Rudi ukasome thread vizuri, acha kukurupuka, ni wapi hapo pameandikwa tunatoa msaada wa namna ya kupata mkopo, sisi tunakusaidia kuapply suala la kupata na kukosa mkopo lipo juu mkononi mwa bodi ya mkopo kutokana na vigezo vyako kama vitakuwa vinakidhi.

Tunakusaidia kutuma maombi na siyo kupata mkopo, baada ya maombi kutumwa, kama utakuwa unakidhi vigezo utapata, kama utakuwa haukidhi huwezi pata.

Next time soma taharifa kwa UMAKINI ndo utoe comment.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
Kama sio mwizi tuoneshe tamko kuwa hicho unachokisema kipo kwenye system kweli laa sivyo tutakuona mbabaishaji tu
Mkuu system bado, haijaruhusu rasmi kufanya application yoyote. Kama endapo ungehoji kwa kuwa straight bila kujenga mitazamo mingine tofauti ungeelewa tangazo langu. Kwa yule ambaye atakuwa interested muda ukifika watakuja na kuhudumiwa. Kiufupi kuna maelezo ulitakiwa kujua kabla ya kuweka kile unachokifikiri. Mawazo ya mleta tangazo ni tofauti na mawazo yako mkuu, amefikiria hatua mbili mbele, we umekomea hatua moja elewa hilo.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
Me huyu jamaa nimemuelewa kama ni mtu wa cafe au nakosea mm
Hujakosea mkuu, na ni harakati za utohaji wa taharifa coz wengi muda wa kuapply ukifika huwa wanapata changamoto sana katika masuala ya kutuma maombi ya mkopo hivyo kufanya hivi ni kujenga uelewa wa awali kwa muhitaji kwa lengo la kumtengezea mazingira ya kuelewa kile atakachotakiwa kufanya pindi system itakapokuwa hewan.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
Ebu nipe link ya kufanya aplication maana naona yangu ni chenga kwa chet na diploma
Mkuu currently system bado, ila mwishoni mwa Mwezi huu au mwanzoni mwa mwezi ujao system itakuwa tayari kwa kuanza application.
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
Apa ndo na mimi nimeprove kua ww ni mwiziView attachment 1098643
Nadhan utakuwa umeelewa maana halisi ya majibu niliyokupatia, may be sikuchanganua vema kwa wewe kuelewa. Nime upload screenshots hapo juu unaweza pitia. And by the way kwa wale watakao kuwa na uhitaji muda ukiwadia watajitokeza no need ya kufight kuonyesha who is right and who is wrong. Ni mtazamo tu ndio unaotutofautisha siku zote, ndo maana kuna tajiri na masikini.
 
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
478
Points
1,000
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
478 1,000
TANGAZO MAFUNZO YA MUDA MFUPI KUHUSU RECORD KEEPING SKILLS KATIKA CHUO KIKUU CHA SOKOINE
UFADHILI WA MASOMO UJERUMANI HII SI NAFASI YA KUKOSA KWA MTANZANIA

KITABU CHA NACTE KITAKACHOWA ONGOZA WANAFUNZI WA DIPLOMA NA CERTIFICATE KUTUMA MAOMBI KATIKA VYUO MBALIMBALI

TCU: TAASISI NA VYUO VIKUU VILIVYORUHUSIWA KUFANYA UDAHILI MWAKA 2019/2020


NACTE: VYUO VILIVYORUHUSIWA KUFANYA UDAHILI 2019/2020


RITA MUONGOZO JINSI YA KUHAKIKI CHETI CHA KUZALIWA

MWONGOZO JINSI YA KUOMBA MKOPO HESLB VITU MUHIMU UNAVYOPASWA KUWA NAVYO AU KUFANYATAARIFA KWA UMMA WANAFUNZI WANAOSOMA NJE YA NCHI AU WANAOTARAJIA KUSOMA NJE YA NCHICHUO CHA SHERIA (IJA) KIMETANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA SHERIA KWA CERTIFICATE NA DIPLOMASABABU ZINAZOSABABISHA CV NYINGI ZIPUUZWE WAKATI WA KUOMBA KAZITOVUTI HII INAKUJALI
TAFADHALI UKIPATA UJUMBE HUU SHARE NA MWENZAKO ANUFAIKE


SPECIAL NOTES
WAHITIMU KIDATO CHA SITA NA WANAFUNZI WENGINE WANAO OMBA KUDAHILIWA KWENYE VYUO NA TAASISI MBALIMBALI, KUOMBA MKOPO NA KUHAKIKI VYETI TUTAENDELEA KUWAPA USHAURI NA KUWASAIDIA ILI KUFANIKISHA HAYO
 
R

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Messages
358
Points
225
Age
27
R

rechungura1

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2015
358 225
nilishawahi sikia kwamba serikali ina mpango wa kutoa mikopo ngazi ya diploma na certificate kwa kozi za sayansi. so inaweza kuwa kweli
 
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
478
Points
1,000
Francis3

Francis3

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
478 1,000
TCU WAMETOA KITABU CHA MWONGOZO KWA WATAKAOTUMA MAOMBI YA KUDAHILIWA KATIKA VYUO VIKUU MBALIMBALI

note
mwaka jana baadhi ya waombaji wa vyuo walikosa vyuo kutokana na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu hicho kutokana na kutokufahamu huko paliwasasababishia kuchagua degree programme ambazo hawakukidhi vigezo vyake

kuepusha hii sitofahamu download tcu guide book hapa uchambue degree programme ulizokidhi vigezo vyake


 

Forum statistics

Threads 1,294,031
Members 497,789
Posts 31,162,767
Top