Kutu iliyopo kwenye vifuniko vya Soda in madhara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutu iliyopo kwenye vifuniko vya Soda in madhara?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kireka1980, Jun 1, 2009.

 1. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mnywaji mzuri sana wa soda ya pepsi, wasi wasi wangu ni kwamba unapoiweka kweny fridge huwa inashika kutu kwenye vifuniko. je hii kutu haina madhara kiafya? if yes mamlaka husika zipo wp?
   
 2. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  ingekuwa vizuri ungetwambia kama unazungumzia tanzania,cause huku kwingine sijaona-hiyo kutu could easily trigger tetanus
   
 3. Kireka1980

  Kireka1980 JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: Mar 18, 2008
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mm nipo Tanzania, sasa hv nitaweka picha uone.
   
Loading...