Kutozungumzia kesi iliyoko mahakamani ni Mpaka kesi iwe imeshaanza kusikilizwa sio imefunguliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutozungumzia kesi iliyoko mahakamani ni Mpaka kesi iwe imeshaanza kusikilizwa sio imefunguliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 21, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,365
  Likes Received: 8,351
  Trophy Points: 280
  Jana meanasheria wa CHADEMA bwana Mabere Marando aliweka wazi jinsi serikali inavyokificha ndani yamahakama kwa kusema hakuna kujadili kesi iliyoko mahakamani ili kuzuia mijadala kwa bunge na wananchi.


  Akaeleza kuwa kesi kufunguliwa mahakamani sio kufanya watu wasizungumze mpaka hapo kesi itakapo kuwa imeanza kusikilizwa na hakimi au jaji.

  Ndio maana hata rais amezungumzia kwa kesi ya madaktari na iweje wengine wazuiwe?
   
 2. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwanza hata wanachodai kesi ipo mahakamani ni kesi basi? Si Usalama wamebuni mbinu tu ili wabunge wa upinzani wasiendelee kuhoji jinsi Serikali ilivyomteka na kumtesa Dr. Ulimboka. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua ni movie ya kihindi tu hii. Tangu lini watu wazima mkaangaika na Kichaa na kumfanya mtaji!
   
Loading...