Kutotolesha mayai ya bata wa kawaida (mascovy duck)

bahati30

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,625
879
Kama kuna m2 yeyote anayetotolesha mayai ya bata wa kawaida (mascovy duck) kwa kutumia incubator naomba anifahamishe kupitia namba 0753249862
 
Ninatotolesha mayai aina yoyote,0784413039

natumiaincubator ninazounda mwenyewe,za mafuta ya taa au umeme
0784413039
 
A:Automatic egg Incubators;
and Handle egg turner.
1.30.........400000
2.60.........500000
3.90.........600000
4.120......800000
5.150......900000
6.180......1000000
7.210......1200000..700000
8.240......1300000..750000
9.270......1400000..800000
10.300...1500000..850000
11.360...1600000...900000
12.480...20000000...1300000
13.600...2500000...1500000
14.720...2600000...1600000
15.900...2800000...1800000
16.1080..3000000..2000000
17.1260..3200000..2200000
18.1440..3400000..2400000
B:MGE EGG INCUBATOR
ELECTRICAL AND KEROSENE POWERD
INCUBATOR;HAND EGG TURN.
This is all Incubators which carries egg not more
than 180.
1.30-60...........200000
2.90..................300000
3.120...............380000
4.150...............450000
5.180...............550000.
 
Kama kuna m2 yeyote anayetotolesha mayai ya bata wa kawaida (mascovy duck) kwa kutumia incubator naomba anifahamishe kupitia namba 0753249862

Nina incubator lkn nikiweka mayai ya bata wakawaida haitotoleshi ila kware, bata mzunga na bukini pamoja na kanga inatotokesha vizury. Nishaweka try 5 bata wakawaida haijatokea kitu. Naomba msada kwa anayejua
 
Kiongozi wewe unachokosea ni katika setting ya temperature na humidity. Temperature na humidity ya incubation ya mayai ya ndege uliowataja hapo juu ni tofauti na bata wa kawaida. Hivyo ni vema kuzingatia mahitaji halisi ya Temp na humidity kwa kila aina ya ndege.
 
Mkuu wanahitaji temp gani? Mm naweka 38.1
 
Mkuu wanahitaji temp gani? Mm naweka 38.1

Angalia hizo info hapo chini

The following table lists incubation requirements for various species of fowl.
SpeciesIncub. Period
(days)
Temp
(F.)¹
Humidity
(F.)²
Do not turn
after
Humidity
Last
3 days ²
Open vent
more
Chicken2110085-8718th day9018th day
Turkey289984-8625th day9025th day
Duck2810085-8625th day9025th day
Muscovy Duck35-3710085-8631st day9030th day
Goose28-349986-8825th day9025th day
Guinea
Fowl
2810085-8725th day9024th day
Pheasant23-2810086-8821st day9220th day
Peafowl28-309984-8625th day9025th day
Bobwhite Quail23-2410084-8720th day9020th day
Coturnix
Quail
1710085-8615th day9014th day
Chukar23-2410081-8320th day9020th day
Grouse2510083-8722nd day9021th day
Pigeon1710085-8715th day9014th day
¹ Measured at degrees F. in a forced-air incubator. For still-air incubators, add 2-3 degrees F.
² Measured as degrees F. using a wet-bulb thermometer. Use chart to convert to relative humidity.

Additional information on incubating eggs can be found in Hatchery Management Guide.
 
Ahsante sanaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom