Kutoswa kwa Bashe na Kingwangala NEC ni dalili za kurudi kwa Lucas Selelii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoswa kwa Bashe na Kingwangala NEC ni dalili za kurudi kwa Lucas Selelii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuchasoni Kuchawangu, Sep 26, 2012.

 1. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wa JF Kumekuwa na mnyukano mkali sana katika ulingo wa siasa za CCM Wilaya Nzega,kati ya Hussein Bashe na mbuge wa sasa Hamisi Kigwangala.Wamekuwa wakishutumiana kwa wazi mpaka kutishiana maisha kwa bastora.Kitendo hiki kimewafanya wote kwa pamoja kutoswa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ujumbe wa Nec kupitia wilaya ya Nzega. Aliyekuwa mbunge wa zamani Lucas Selelii hasikiki ktk duru hizi za siasa za CCM Nzega.Ikizingatiwa kwenye kura za maoni alishika nafasi ya pili nyuma ya Bashe aliyekuwa wa kwanza na juu ya Kigwangala aliyeshika nafasi ya tatu. Je ugomvi wa Bashe na Kigwangala utamrudisha Selelii kwenye siasa za nzega tena? Maoni kwenu wadau.
   
 2. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Hawezi! Huu mnyukano ni kati ya Lowassa na Sitta. Vivuli vyao ndoo vinavoitikisa Nzega. Selelii baada ya kuwa nje ya ulingo wa Bunge kabaki Simba wa Karatasi!
   
Loading...