Elections 2010 Kutoruhusiwa mgombea binafi : Rais na wabunge wanawajibika kwa chama na si wapigakura

TanzActive

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
367
73
Habari WanaJF

Nimeangalia wajumbe wa CC CCM na kugundua kwamba imejaa mafisadi
Na hiki ndicho chombo chenye influency katika hicho chama .Kwa maana hiyo hata Rais au Mbunge kama anaenda kinyume na Mataka ya organ yenye nguvu katika chama husika atakuwa anahatarisha nafsi yake . Mfano Mzuri wa hili ni SIX, guardian on sunday pg2 limeandika "source have confided to the guardian on sunday that much force was used to block the incumbet when CC members were deliberating on the three names to forward to CCM MPs to be voted for or against as many commitee members preffered Sita .Hii inaaply pia kwa mbunge hawezi kupinga Chama chake hata kama kimetekwa na kikundi fulani (hakitetei maslahi ya wananchi) kwa maana akifanya hivyo wanamfukuza chamani na outomaticaly anapoteza ubunge.

Kama kuwa mwanachama wa chama fulani isingekuwa sio kigezo cha kuwa Mbunge , tungeona wengi wakimpigia kura marando katika uchaguzi wa Uspika
kama hicho kigekuwa kigezo , pengine tungeona Kikwete akiwamwaga CCM kama Bingwa wa Mutharika
Kama isingekuwa kigezo hata SIX angetangaza kujitoa CCM baada ya kunyiwa Zengwe

ILI MWANANCHI AWE NDIO FOCUS YA SERIKALI NA SIO CHAMA (maana chama kinaweza tekwa na wachache) , MGOMBEA BINAFI WA UBUNGE AU URAIS NI LAZIMA
 
Back
Top Bottom