kutopewa vyeti kwa wanafunzi waliopata zero form 4 au form 6 sio sawa kabisa na ni uonezi

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
Nini sababu ya mtu aliyepata divisheni ziro kutopewa cheti cha kidato cha nne au cha sita? Si ni matokeo aliyoyapata baada ya kushiriki mitihani? Kitamsaidiaje, hiyo ni yeye mwenyewe atajua, Gharama za cheti - si alilipia, pia sialilipia mitihani sawa na wenziwe? Ziro si ni moja tu ya matokeo ya mitihani? Kwani ziro inaweza kutolewa kwa mtu asiyefanya mtihani? Naomben majibuView attachment 1103205
 
Zipo kazi kama udereva ,ulinzi ,usafi wanahtaji uwe na gamba tu la from 4 bila kujal umepta nini
 
Kuna leaving certificate inayoonesha mhusika alipitia muda fulani kwa kidato husika

Sioni kama kuna faida ya kumpa mtu cheti kwa kuwa ameonyesha kushindwa kumudu masomo yote aliyoyaudhuria kwa sifa stahiki
 
Kwa nini upate zero?
Nini sababu ya mtu aliyepata divisheni ziro kutopewa cheti cha kidato cha nne au cha sita? Si ni matokeo aliyoyapata baada ya kushiriki mitihani? Kitamsaidiaje, hiyo ni yeye mwenyewe atajua, Gharama za cheti - si alilipia, pia sialilipia mitihani sawa na wenziwe? Ziro si ni moja tu ya matokeo ya mitihani? Kwani ziro inaweza kutolewa kwa mtu asiyefanya mtihani? Naomben majibuView attachment 1103205
 
Success story ni hoja nyepesi sana.. ni an imaginary bullshit.
Hakuna aliepata zero atakiri alipata zero. Hakuna umuhimu wa cheti cha zero wkt kila mahali kitakataliwa.
unaweza itumia kama success story kuwainspire wengine endapo uta resit na kupata division one.hence kuwaonyesha watu kwamba kwamba unaweza kupata zero na division one vilevile
 
Back
Top Bottom