Kutoonekana kwa file CMA, nini kifanyike

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
472
Habari waungwana..
Nilikuwa na kesi pale CMA iliyo tolewa hukumu mwaka jana mwezi wa nane..
Upande wa pili waliomba revision kwa hiyo kesi ikaenda high court..
Sasa tangia wakati huo, jalada halionekani, nimejaribu kuonana na hakimu husika, incharge wake, mkurugenzi mkuu lakini bila mafanikio...

Naombeni msaada kwa uzoefu mlio nao, nn kifanyike?
 
Ndugu, inabidi uandike barua kwa hilo, kuonana kwa macho tu haitoshi. Sehemu hizo mambo yanaenda kimaandishi zaidi. Inawezekana fili la hiyo kesi likawa mahakama kuu, fuatilia na huko pia,
 
Mahama kuu halipo mkuu, nilienda wakanipa kopy za barua ambazo walikuwa wanaliita file bila mafanikio..
 
Habari waungwana..
Nilikuwa na kesi pale CMA iliyo tolewa hukumu mwaka jana mwezi wa nane..
Upande wa pili waliomba revision kwa hiyo kesi ikaenda high court..
Sasa tangia wakati huo, jalada halionekani, nimejaribu kuonana na hakimu husika, incharge wake, mkurugenzi mkuu lakini bila mafanikio...

Naombeni msaada kwa uzoefu mlio nao, nn kifanyike?
Fika kesho CMA suala lako litashughulikiwa
 
Nimesha fika hapo zaidi ya mara mia, hakuna kinacho fanyika..
Inaonekana kuna mtu ameficha file langu..

Suala lako lilisikilizwa na nani?
Ebu ngoja ni subscrib huu uzi, pengine nikapata machache ya kujifunza aiseeee......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom