Kutongoza!

malipula

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
323
120
Hivi ni lazima ukimpenda mtu umwambie kwamba 'i love u',vitendo si vinatosha?
 
Kwa jinsia ya "she" usiposema hivyo hawaamini hata kama vitendo vyako vinasema hivyo. Mimi binafsi sihitaji mtu aniambie "I love you" kwani vitendo vinaongea ukweli zaidi ya maneno ambayo mara nyingu hujaa unafiki tu. Ukianza kuambiwa "I love U" jua kuna mzinga unakuja muda siyo mrefu.
 
Sisi WAHA wa Kigoma ni mji lakini Tabora ni chiboko tuna sema mugolegole ndakusha channe.
 
Kwa jinsia ya "she" usiposema hivyo hawaamini hata kama vitendo vyako vinasema hivyo. Mimi binafsi sihitaji mtu aniambie "I love you" kwani vitendo vinaongea ukweli zaidi ya maneno ambayo mara nyingu hujaa unafiki tu. Ukianza kuambiwa "I love U" jua kuna mzinga unakuja muda siyo mrefu.

Jina lako nani tena????
 
Ni kweli vitendo huongea zaidi kuliko maneno lakini kuna muda neno nakupenda humsisimua yule anayetamkiwa na kumfanya ajisikie kuwa ni wa muhimu sana ila si vyema ukawa unalitumia mara kwa mara.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom