Ina maana na package imezeeka?? IMO the older the man... the more irresistable...
How did u derive this formula....
Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah!
Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
alfuununi majunuuni...
Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah!
Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!
Hata mie namshangaa.Ina maana na package imezeeka?? IMO the older the man... the more irresistable...
ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
na kweli mabwege huwa mnawapata kweli.............................
chezea hao hao, wengine hatujaribiwi ati....................
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
hommie hebu kua wa kwanza kinigongea kale ka fevareti ketu (naskia ma mod hawataki tuombe)hahaha utawapata hao hao....hakuna kitu cha mwanaume kamili kikaenda hivi hivi