Kutongoza mwanamke bongo ni sawa na kufungua akaunti ya matumizi.

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,428
3,510
Kuna mtoto wa mwenye nyumba kamaliza certificate ya law chuo cha pale magogoni. Karibu aliomba awe anatumia friji langu kutunza mabarafu yake nikaona sawa tu sababu liko on muda wote.

Sijawahi kuwa na mazoea naye nilikuwa namchukulia kama mdogoangu ila ukaribu siku zote huleta mapenzi. Nikagundua kashakuwa na natakiwa kufanya kile kinachotakiwa jana nikamwandikia ujumbe kwenye ki notebook cha kumtongoza nikaacha juu ya friji leo alivoleta mabarafu kausoma akakubali na maombi juu nimnunulie simu na kumfungulia biashara ili asiwe anashinda home.

Kuhusu simu nilipanga kumpa kabla sababu hakuwa nayo ila kitendo cha kuomba vitu siku ya kwanza tu nilipomtongoza imenivunja moyo nione ni binti wa ovyo ambaye natakiwa kumtafuna na kumuacha tu. Hivi wanawake hawawezi vumulia kuomba omba angalau kwa siku za mwanzo na ukizingatia nipo hapa hapa kwao sikimbii.
20190503_212111.jpg
 
Noma sana..vipi unaendelea na mpango wa kumtafuna au unapiga chini??

Na wazazi wake wanachukuliaje binti yao kuingia chumba cha mpangaji wa kiume kirahisi hivi??
 
Nanukuu 'kama kweli unanipenda nifungulie biashara niwe nafanya nisikae nyumbani kusudi we ukiingiza na mimi niingize'

Mbona anaonekana ana akili sana ya maisha,yani hapo manake ukimfungulia biashara atakuwa anaingiza pesa so vibomu vya hapa na pale havitakuwepo

Au wewe ulitaka akuombe mtaji baada ya muda gani?
 
Una macho nimechungulia nimeshindwa kuona.

Nani alikuambiwa akili ya mwanamke inapimwa hivyo ulivyoisoma ukamaliza?
 
Kuna mtoto wa mwenye nyumba kamaliza certificate ya law chuo cha pale magogoni. Karibu aliomba awe anatumia friji langu kutunza mabarafu yake nikaona sawa tu sababu liko on muda wote.
Sijawahi kuwa na mazoea naye nilikuwa namchukulia kama mdogoangu ila ukaribu siku zote huleta mapenzi. Nikagundua kashakuwa na natakiwa kufanya kile kinachotakiwa jana nikamwandikia ujumbe kwenye ki notebook cha kumtongoza nikaacha juu ya friji leo alivoleta mabarafu kausoma akakubali na maombi juu nimnunulie simu na kumfungulia biashara ili asiwe anashinda home.
Kuhusu simu nilipanga kumpa kabla sababu hakuwa nayo ila kitendo cha kuomba vitu siku ya kwanza tu nilipomtongoza imenivunja moyo nione ni binti wa ovyo ambaye natakiwa kumtafuna na kumuacha tu. Hivi wanawake hawawezi vumulia kuomba omba angalau kwa siku za mwanzo na ukizingatia nipo hapa hapa kwao sikimbii.View attachment 1087292

Maamakeee!!

Pole sana.
 
Kwa kweli endelea tu kubaki mkoani kaka yangu hawa wanaume wetu wa Dar wanatia aibu sana, yaani mtu kuandikiwa barua na anakuja kuweka huku? Sisi mama zenu tukisema tuweke humu barua tulizoandikiana na baba zenu kutatosha huku ndani?
hapatoshi.
 
Miandiko yenu ilikuwa mibaya...wekeni kama itasomeka.
 
Nanukuu 'kama kweli unanipenda nifungulie biashara niwe nafanya nisikae nyumbani kusudi we ukiingiza na mimi niingize'

Mbona anaonekana ana akili sana ya maisha,yani hapo manake ukimfungulia biashara atakuwa anaingiza pesa so vibomu vya hapa na pale havitakuwepo

Au wewe ulitaka akuombe mtaji baada ya muda gani?
Utawaweza kaka zako wa humu ndani
 
Kwa kweli endelea tu kubaki mkoani kaka yangu hawa wanaume wetu wa Dar wanatia aibu sana, yaani mtu kuandikiwa barua na anakuja kuweka huku? Sisi mama zenu tukisema tuweke humu barua tulizoandikiana na baba zenu kutatosha huku ndani?
Babe...
Naomba ukae kimya tu, naomba usifanye ivo...
 
Weee nilikuwa na mwandiko mzuri mimi acha kabisa, unakumbuka zile mwalimu anaacha daftari la notes muandike mimi ndio nilikuwa nawaandikia ubaoni sasa

Back
Top Bottom