“KUTONGOZA” - Kukubaliwa AMA Kukataliwa…. What gives??

Asilimia 95% ya wanawake wa sasa wanaolewa kwa sababu ya material. Wao ni materialistic in nature.
Tena fenicha ndo kigezo kinachowavutia wengi.

Fenicha zimefanya nini tena....lol... Gari pekee halitoshi tena??

Ashadii najua moyo wako unakubaliana na ninachokisema na unajaribu kupindisha ili wanajamvi wapotoke.

Mambo ya kuchonga ni jambo jingine ila my point lazima iwe noted.


I know.... I know... ila hata hivo not fair.....lol
 
weka na NYUMBA na GARI.Ukaweka na FANICHA, na ka KAZI kako unavuta 1mil point smthng.
Hapo wenyewe ndo wanasema eti UNA MSIMAMO WA MAISHA.
Kumbe wako ki materialism zaidi.

Gari na nyumba ni vigezo vya ziada.yani fenicha ndo kila kitu.amini usiamin.
 
Unaweza ukawa na style zote za kutongoza, wanawake wa Afrika HUNA HELA UTATONGOZA NA MANENO YAKO UTAONEKANA CHIZI TU ,MAPENZI NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINE . Lazima uwe na mtaji wa hela ya kutongoza na kudumisha penzi.ashadii hapa si Ulaya huku wanawake wetu wananjaa balaa yaani wao hawaoni kingine ni pesa pesa pesa tu materiality women wanaacha wanaume wa ukweli wanaendeza njaa na hapa wote msomi na kanjanja .
 
Nyie watu nyie... mie nakubaliana kabisa na hali kua ime change na kwamba watu wapo zaidi ki Material zaidi... BUT hata hivo kuna exceptions jamani.... Dah! Kwamba woote wanaotongozwa lazima wachunguze material things??
PA...hatukatai kwamba hawapo ambao wao wanaingia kwenye relationship for the sake of him/her and you bila kuangalia natongozwa na mtu wa namna gani au je ana gari au ana pesa ni wachache sana ambao katika kutongozwa/kutongoza hawatazingatia vitu hivyo lakini amini amini nakwambia sasa hivi mwanaume uende umtongoze mwanamke the first thing kuacha personality yako ataangalia kama una gari au ka una hela watu watakataa lakini this is how it is i have seen it, been there luckly enough ukiwa hauna hivyo vitu wakati wa kumtongoza mwanamke kama personality yako inalipa well hiyo ndio itaokoa jahazi
 
weka na NYUMBA na GARI.Ukaweka na FANICHA, na ka KAZI kako unavuta 1mil point smthng.
Hapo wenyewe ndo wanasema eti UNA MSIMAMO WA MAISHA.
Kumbe wako ki materialism zaidi.


Jamani tuende mbele turudi nyuma.... Nyie guys mna vigezo hua mnatumia kuamua umfuate a lady or not... Kuna ubaya gani wa sisi kuweka pia vigezo.... Sasa uonekane ni mzembe huna mbele wala nyuma na binti ajicommit?? Kweli kabisa msilalame....
 
unataka nikwambie ni mtaa gani ili uje na hako ka gari kako?
Utatunyang'anya mademu woote bana, mana wala hawanaga wivu wote kuchukuliwa na mtu mmoja.
Valid umenikumbusha jamaa mmoja anasema haata ukiwa na gari yenye plate namba za DFP au STK mwanamke hajali ili mradi ni gari...lol!!
 
B' nimecheka mpaka baasi.... The imagination yenyewe imenifurahisha... Are you saying ulipogundua otherwise uliahirisha?? Kwani kungekua na ubaya gani??
tatizo girlfriend wake ana wivu mpaka basi,yaani hata kumpiga huwa aanampiga.
Actualy kilichoniponza ni kuwa naive,on reflection nilikuja kugundua kuwa kuna namna walikuwa wanatazamana,kuna namna walikuwa wanagusana,ningekuwa sharp ningegundua longtime.Siku hizi lesbian couple hata wawe mita mia nitawajua tu.
Back to your question ali win bana mi nikapigwa chini jumla,its life wala sina manung'uniko maana mkuki kwa nguruwe hata mimi wanawake kibao nimepiga kisha nikawamwaga.
 
Mtaa kwangu ninakoishi. Kila mabinti 7 ktk 10 ukimtongoza ANAKUBALI
Huitaji kuwa na sifa ulizitaja hapo juu.
Wao wanataka mradi tu uwe unaendesha gari.
Gari la aina yeyote ile, ili mradi liwe gari, hata kama limeandikwa AMBULANCE , kama unakujaga nalo ku cruise mtaani, mbona utawapanga sana.

Hii gia ya gari siku hizi inahusika sana.
Mabinti wanashoboka sana magari ukiwa unatembelea nyama wanakataa ukiazima bajaj unakuta kaingia laini
 
Unaweza ukawa na style zote za kutongoza, wanawake wa Afrika HUNA HELA UTATONGOZA NA MANENO YAKO UTAONEKANA CHIZI TU ,MAPENZI NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINE . Lazima uwe na mtaji wa hela ya kutongoza na kudumisha penzi.


Jamani hapa sasa tunadanganyana.... Tumeona kabisa kua katika jamii wapo vijana kibao ambao bado kabisa hawajatoka kimaisha na wengine ni watu wazima... Hao watu mnawaweka katika kundi gani... Kuna wapiga debe for instance, wengine hadi wameoa.... The way mnaongea kana kwamba kua ambao hawana material things hawatongozi wala hawa kubaliwi....
 
Valid umenikumbusha jamaa mmoja anasema haata ukiwa na gari yenye plate namba za DFP au STK mwanamke hajali ili mradi ni gari...lol!!
Lolz....hizi sasa ni 'kashfa':lol:! Lakini kuna kaukweli, kuna baadhi ya mitaa hata ma taxi driver, makonda na hata wauzaji wa bucha au sokoni 'wanasumbua' kweli!
 
Jamani hapa sasa tunadanganyana.... Tumeona kabisa kua katika jamii wapo vijana kibao ambao bado kabisa hawajatoka kimaisha na wengine ni watu wazima... Hao watu mnawaweka katika kundi gani... Kuna wapiga debe for instance, wengine hadi wameoa.... The way mnaongea kana kwamba kua ambao hawana material things hawatongozi wala hawa kubaliwi....

Asha kumbuka mkono mtupu haulambwi
 
Naomba udadafue zaidi.... Kwamba fenicha ni zaidi ya gari??



Utanisamehe.... Not fair!

Hahahaha haya dada ashadii,wajitaidi kukikataa kivuli chako.

Gari=lifti=misele

Fenicha=heshima kubwa kwa mwanamke zaid ya gari
=kigezo cha nyodo kwa wanawake wenzake
=tambo kwa wenzake.

Kama huamini jus fanya uchunguz kwa marafik wanaokuzunguka then jion uje na jibu.
 
PA...hatukatai kwamba hawao ambao wao wanaingia kwenye relationship for the sake of him/her and you bila kuangalia natongozwa na mtu wa namna gani au je ana gari au ana pesa ni wachache sana ambao katika kutongozwa/kutongoza hawatazingatia vitu hivyo lakini amini amini nakwambia sasa hivi mwanaume uende umtongoze mwanamke the first thing kuacha personality yako ataangalia kama una gari au ka una hela watu watakataa lakini this is how it is i have seen it, been there luckly enough ukiwa hauna hivyo vitu wakati wa kumtongoza mwanamke kama personality yako inalipa well hiyo ndio itaokoa jahazi


Mie nakubaliana na unalo ongea... ila najua kua hivo vigezo lipo kwa a certain type of group or should i say ladies... Hao ladies wa kimjini mjini ambao wameweka maslahi mbele, na hata wewe mtongozaji hujua kabisa na kwa wazi kua usipokua na kitu huyo mtu humpati. Hio sasa ni desparation na naona sio nzuri kua utampata mtu sababu ya material things... I can however vouch for personality.... which can also say loads kugusu mtu at first glance...
 
Jamani tuende mbele turudi nyuma.... Nyie guys mna vigezo hua mnatumia kuamua umfuate a lady or not... Kuna ubaya gani wa sisi kuweka pia vigezo.... Sasa uonekane ni mzembe huna mbele wala nyuma na binti ajicommit?? Kweli kabisa msilalame....

Mi kigezo changu kikubwa ni wowowo tu siangalii sura wala rangi mimi fulushi tu.
Sasa nikibembeleza nikakataliwa huwa naingia gharama ya kukodi au kuazima usafiri najua wadada wanashoboka na usafiri ndani full Mufindi aaah salale hapo natangaza ushindi mapema naua tembo kiubua ni sawa na kumdondosha mlevi kwa kumpuliza.
 
Back
Top Bottom