“KUTONGOZA” - Kukubaliwa AMA Kukataliwa…. What gives??

Ashadii,ATRACTION HAS NO CHOICE,WHAT WOMEN WANT IS NOT WHAT THEY WANT,THEY WANT YOU (MEN) TO GIVE THEM WHAT THEY WANT WITHOUT TELLING YOU WANT THEY WANT.

Interesting perspective.... very interesting, Mie nafikiri kwamba kuna yale ambayo ni ya msingi yanajulikana kabisa kua wanawake wanahitaji... Yale ambayo wewe mwanaume inabidi ujue bila kuambiwa, hivo kwa hilo sikatai.... Unajikuta upo katika relationship lijamaa hata halijali juu ya hapo lipo irresponsible... Yaani hadi inaboa!
 
wape somo sis asha dii mtu anakuja kukutongoza ana sura kama amelipuliwa na baruti bwana khaaaaaaaaaaaaa

hahaha.... Mbona wanitisha kid sis... ndio maana jana uliomba passport size nini?? lol
 
Hii nayo kali... ina maana anatumia teknik gani?? Kwamba wanaenda kibubu-bubu?? Naomba nieleweshe SMU....
Pengine sitaweza kuelezea kwa ufasaha ni nini kinatokea lakini kunakuwa na mawasiliano ambayo pengine si sahihi kuyaita ni kutongoza na hatimaye kila upande unakuwa unajua upande mwingine unataka nini. Kuna biashara pia imeingia kwenye hili (sikungumzii machangu ambao ni 'official').
 
Hivi 'siku hizi' bado kuna "kutongoza" (kwa maana yake hasa)? Kuna jamaa yangu (yeye ni 'senior bachelor') alikuwa ananiambia juzi kwamba hakumbuki mara ya mwisho ametongoza lini (tulikuwa tunaongelea mada inafanana sana na hii)!

Hata ukiongea na baadhi ya wadada...mara nyingi hawasemi 'ametongozwa' wanatumia zaidi 'kutakwa' (utasikia fulani 'ananitaka')...well inawezekana ni mabadiliko ya lugha tu lakinim kitendo ni kile kile!

Enzi za mwl. Wanawake wanatongozwa miaka kazaa.
Cku hizi wizii mtupu.
Unapata namba ya cm ndo mambo yanamalizikia hapo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Siku hizi things have really changed, changed a lot vitu kama personality, care ni wachache sana wanaovingalia both wanaume/wanawake kama alivyosema Valid ukiwa na gari au pesa haijalishi hata uwe na sura kama fenesi hata bila kutongoza utashangaa tu mwenyewe mambo yanajipa, people nowdays are more into material things.....like what you have.....or what can i get from you nikiingia kwenye mahusiano na wewe. Kuna jamaa mmoja alikuwa anafukuziwa hasa na mwanamke na huyo mwanamke alikuwa well determined kumpata jamaa ile kutumia extra tactic ikabidi amuhonge jamaa gari na kumpangishia nyumba watu walishangaa sana na bado jamaa alikuwa anachukuli easy tu
 
hahaha.... Mbona wanitisha kid sis... ndio maana jana uliomba passport size nini?? lol
ahahaa ngoja nikawainterview wadau wangu mimi nilitaka tu kusaidia rafiki zangu ila nimeamini nabii hakubaliki kwao
 
Kutulia kuna mtazamo mpana kidogo.labda ungeweka wazi huyo binti alivotulia ili niweze jua mwanaume ana mharibia vipi kesho yake?

Ukwel binti alitulia ni lazima awe bikra.

Juzi nilikua na my uncle akawa anataka akapate penzi from her new grl.
Bt yule dada akamwambia mpaka aende kwa wazaz na amuoe ndo atampa akitakacho.
Anko akamuuliza wewe ni bikra? Grl akasema hapana.
Then akamwambia wazazi wanaumuhmu gani?
So kutulia kupi dada ASHADII?

Mwanakili hebu acha za kuleta hapa.... Yaani binti alotulia lazima awe bikra?? Kwamba yule ambae ana tabia njema, very low profile ana boyfriend mmoja, tena maybe for a very long time huyo hajatulia?? Kwamba ni mtu ambae sio wa club saana, ni mtaratibu mtu ambae once in a while anafuata dini... hajatulia just because sio bikra?? Hivi umekutana na wadada mapepe mitaani huko??

BTW huyo galfriend wa anko wako kachemka....lol
 
Pengine sitaweza kuelezea kwa ufasaha ni nini kinatokea lakini kunakuwa na mawasiliano ambayo pengine si sahihi kuyaita ni kutongoza na hatimaye kila upande unakuwa unajua upande mwingine unataka nini. Kuna biashara pia imeingia kwenye hili (sikungumzii machangu ambao ni 'official').

Hapa naona ndio lile kundi la vijana wa leo ambao outing ni mara nyingi na vijiwe vingi vya kutoka, wanakutana na watu wale wale... kitu ambacho hujenga mazoea kati ya wahusika... hivo labda phase ya kutongozana katika hilo kundi lime evolve....lol.... Ila bana wacha kubania naomba eleza hapo in blue....
 
Pengine sitaweza kuelezea kwa ufasaha ni nini kinatokea lakini kunakuwa na mawasiliano ambayo pengine si sahihi kuyaita ni kutongoza na hatimaye kila upande unakuwa unajua upande mwingine unataka nini. Kuna biashara pia imeingia kwenye hili (sikungumzii machangu ambao ni 'official').

Enzi za mwl. Wanawake wanatongozwa miaka kazaa.
Cku hizi wizii mtupu.
Unapata namba ya cm ndo mambo yanamalizikia hapo.

Siku hizi things have really changed, changed a lot vitu kama personality, care ni wachache sana wanaovingalia both wanaume/wanawake kama alivyosema Valid ukiwa na gari au pesa haijalishi hata uwe na sura kama fenesi hata bila kutongoza utashangaa tu mwenyewe mambo yanajipa, people nowdays are more into material things.....like what you have.....or what can i get from you nikiingia kwenye mahusiano na wewe. Kuna jamaa mmoja alikuwa anafukuziwa hasa na mwanamke na huyo mwanamke alikuwa well determined kumpata jamaa ile kutumia extra tactic ikabidi amuhonge jamaa gari na kumpangishia nyumba watu walishangaa sana na bado jamaa alikuwa anachukuli easy tu

Thank you guys, nafikiri hiki ndio nilikuwa najaribu kumwambia Ashadii.
 
Nyie watu nyie... mie nakubaliana kabisa na hali kua ime change na kwamba watu wapo zaidi ki Material zaidi... BUT hata hivo kuna exceptions jamani.... Dah! Kwamba woote wanaotongozwa lazima wachunguze material things??
 
Mwanakili hebu acha za kuleta hapa.... Yaani binti alotulia lazima awe bikra?? Kwamba yule ambae ana tabia njema, very low profile ana boyfriend mmoja, tena maybe for a very long time huyo hajatulia?? Kwamba ni mtu ambae sio wa club saana, ni mtaratibu mtu ambae once in a while anafuata dini... hajatulia just because sio bikra?? Hivi umekutana na wadada mapepe mitaani huko??

BTW huyo galfriend wa anko wako kachemka....lol

Let me sum up inshort na wanajamvi wasikie na kutambua.

""Kipimo cha kutulia kwa mwanamke ni ubikra""
 
Hapa naona ndio lile kundi la vijana wa leo ambao outing ni mara nyingi na vijiwe vingi vya kutoka, wanakutana na watu wale wale... kitu ambacho hujenga mazoea kati ya wahusika... hivo labda phase ya kutongozana katika hilo kundi lime evolve....lol.... Ila bana wacha kubania naomba eleza hapo in blue....
The Finest amelieleza vizuri hapa juu....kusema ukweli, wadada wengi siku hizi wamekuwa wanaangalia materials zaidi kuliko kitu kingine. Siku hizi mwanaume akiwa na materials na mwepesi wa kutoa...ni wanawake wenyewe wanajipeleka wala haitaji kuwatongoza (actually anaweza kujikuta anatumia nguvu kubwa kuwakwepa baadhi yao)!...ndio maana nasema ni biashara..kuna wauzaji na wanunuzi na wanajuana kirahisi sana!
 
Let me sum up inshort na wanajamvi wasikie na kutambua.

""Kipimo cha kutulia kwa mwanamke ni ubikra""

It is not fair ujue?? Not fair kabisa!! Nyie ndo hufanya mabinti wakatengeneze bikra.....lol
 
Nyie watu nyie... mie nakubaliana kabisa na hali kua ime change na kwamba watu wapo zaidi ki Material zaidi... BUT hata hivo kuna exceptions jamani.... Dah! Kwamba woote wanaotongozwa lazima wachunguze material things??

Asilimia 95% ya wanawake wa sasa wanaolewa kwa sababu ya material. Wao ni materialistic in nature.
Tena fenicha ndo kigezo kinachowavutia wengi.
 
ahahaa ngoja nikawainterview wadau wangu mimi nilitaka tu kusaidia rafiki zangu ila nimeamini nabii hakubaliki kwao

hahahaha..... Sio hivo mdogo wangu....lol... Wee kawafanyie tu interview... MMU Wamejitokeza wangapi??
 
It is not fair ujue?? Not fair kabisa!! Nyie ndo hufanya mabinti wakatengeneze bikra.....lol

Ashadii najua moyo wako unakubaliana na ninachokisema na unajaribu kupindisha ili wanajamvi wapotoke.

Mambo ya kuchonga ni jambo jingine ila my point lazima iwe noted.
 
The Finest amelieleza vizuri hapa juu....kusema ukweli, wadada wengi siku hizi wamekuwa wanaangalia materials zaidi kuliko kitu kingine. Siku hizi mwanaume akiwa na materials na mwepesi wa kutoa...ni wanawake wenyewe wanajipeleka wala haitaji kuwatongoza (actually anaweza kujikuta anatumia nguvu kubwa kuwakwepa baadhi yao)!...ndio maana nasema ni biashara..kuna wauzaji na wanunuzi na wanajuana kirahisi sana!
SMU....umechukua mawazo yangu naomba unirudishie....lol (kiddin)
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Asilimia 95% ya wanawake wa sasa wanaolewa kwa sababu ya material. Wao ni materialistic in nature.
Tena fenicha ndo kigezo kinachowavutia wengi.

weka na NYUMBA na GARI.Ukaweka na FANICHA, na ka KAZI kako unavuta 1mil point smthng.
Hapo wenyewe ndo wanasema eti UNA MSIMAMO WA MAISHA.
Kumbe wako ki materialism zaidi.
 
The Finest amelieleza vizuri hapa juu....kusema ukweli, wadada wengi siku hizi wamekuwa wanaangalia materials zaidi kuliko kitu kingine. Siku hizi mwanaume akiwa na materials na mwepesi wa kutoa...ni wanawake wenyewe wanajipeleka wala haitaji kuwatongoza (actually anaweza kujikuta anatumia nguvu kubwa kuwakwepa baadhi yao)!...ndio maana nasema ni biashara..kuna wauzaji na wanunuzi na wanajuana kirahisi sana!

Hapa nimeshindwa hata kubisha... ni aibu lakini basi tu...
 
Back
Top Bottom