Kutomsikiliza KIKWETE bungeni ni uhaini ama ujasiri?

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Nimefuatilia matamko na matamshi mbalimbali yaliyotolewa na viongozi wa kisiasa,dini,wanataaluma. Nilichoona ni kuwa watanzania hawaijui katiba wala sheria za nchi yao..?

PIA wengi wanaogopa kukabiliana na changamoto zenye ukweli, ila pia hawapendi kuona viongozi wakielezwa ukweli hadharani kwa kisingizio kuwa ni kuwavunjia heshima .

Yafaa sasa wakajua kuwa hata kwenye mikutano ya UN wapo viongozi kama mugabe na rais wa I RAN waliwahi kukimbiwa na viongozi wenzao pindi walipoanza kuhutubia,hivyo CHILIGHATI na wenzake yafaa wajifunze ukweli huu.

Natoa changamoto -
 
nimefuatilia matamko na matamshi mbalimbali yaliyotolewa na viongozi wa kisiasa,dini,wanataaluma. Nilichoona ni kuwa watanzania hawaijui katiba wala sheria za nchi yao..?

Pia wengi wanaogopa kukabiliana na changamoto zenye ukweli, ila pia hawapendi kuona viongozi wakielezwa ukweli hadharani kwa kisingizio kuwa ni kuwavunjia heshima .

Yafaa sasa wakajua kuwa hata kwenye mikutano ya un wapo viongozi kama mugabe na rais wa i ran waliwahi kukimbiwa na viongozi wenzao pindi walipoanza kuhutubia,hivyo chilighati na wenzake yafaa wajifunze ukweli huu.

Natoa changamoto -

uhaini wa ufisadi
 
siku zote utawala wa kifisadi huogopa sana kukosolewa kwa uwazi mbele ya watawaliwa,ndio maana mara zote huwa wakali sana kukosolewa
 
Sidhani kama hii thread yako inaendana na headings, ila kwakuwa nimekuelewa, nikweli kwamba watanzania wengi hawaijui katiba, cha kushangaza zaidi hata baadhi ya wabunge na wasomi hawaijui au hawasomi katiba ya nchi yetu. Kitendo cha Zitto kutokushiri inanipa wasiwasi kuwa haijui katiba, au kichwa ngumu, au ubishi wa kijinga. Chiligati sitaki kumzungumzia sana kwakuwa huwa ni hulka ya CCM in general kutokuwa na tabia ya kujisomea vitabu. Wapo watu wengi wa namna hiyo ambao ni wasomi lakini sheria hawazijui.
 
uhaini wa ufisadi

Toa sababu zikiambatana na vifungu vya Sheria, usiwe kama Makamba anayedai Bashe si raia baadaye ikaja kujulikana kuwa ni raia au Sheikh Yahya aliyeingia mitini akiogopa kutetea hoja yake ihusuyo kifo cha mgombea kabla ya uchaguzi!
 
Wanasheria wa Jamii Forum,

Nawaombeni VIFUNGU VYA KATIBA na au KISHERIA, na pia MAAMUZI YA MAHAKAMA YOYOTE Duniani, BUNGE za Jumuiya ya Nchi za Madola katika hali inayofanana ya haya ya Madai ya Ndugu Mh Chiligati na Chenge ndipo mjadala uweze kuwa na mwelekeo thabiti.

Naomba kuwashilisha.
 
Nimefuatilia matamko na matamshi mbalimbali yaliyotolewa na viongozi wa kisiasa,dini,wanataaluma. Nilichoona ni kuwa watanzania hawaijui katiba wala sheria za nchi yao..?

PIA wengi wanaogopa kukabiliana na changamoto zenye ukweli, ila pia hawapendi kuona viongozi wakielezwa ukweli hadharani kwa kisingizio kuwa ni kuwavunjia heshima .

Yafaa sasa wakajua kuwa hata kwenye mikutano ya UN wapo viongozi kama mugabe na rais wa I RAN waliwahi kukimbiwa na viongozi wenzao pindi walipoanza kuhutubia,hivyo CHILIGHATI na wenzake yafaa wajifunze ukweli huu.

Natoa changamoto -

Nadhani ungebadilisha kichwa cha habari, kina mislead, wale wabunge wa Chadema walitoka bungeni na haina maana ni "Kutomsikiliza KIKWETE", mimi naamini walimsikiliza kupitia luninga.
 
Mpwa ni uhaini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wachache wale miungu watu ambao hao ndio wakuabudiwa, wala sio MUNGU tena, samahani kama nakosea, ila naona utamaduni huu utatupeleka pabaya sana, asante
 
Sidhani kama hii thread yako inaendana na headings, ila kwakuwa nimekuelewa, nikweli kwamba watanzania wengi hawaijui katiba, cha kushangaza zaidi hata baadhi ya wabunge na wasomi hawaijui au hawasomi katiba ya nchi yetu. Kitendo cha Zitto kutokushiri inanipa wasiwasi kuwa haijui katiba, au kichwa ngumu, au ubishi wa kijinga. Chiligati sitaki kumzungumzia sana kwakuwa huwa ni hulka ya CCM in general kutokuwa na tabia ya kujisomea vitabu. Wapo watu wengi wa namna hiyo ambao ni wasomi lakini sheria hawazijui.
 
tujadili kwani hata waandishi wa habari tena wahariri leo wameandika editorial kuwa CHADEMA walikosea na walivunja katiba na sheria ila hakuna aliyetaja kifungu wamekuwa kama CHILIGHATI. Yafaa wakasaidiwa kwani waandishi wetu wamekuwa wakilishwa maneno na wanasiasa na bila kusoma wanayabeba. hebu fikiri NIPASHE na habari leo wanaandika tahariri,unategemea uhuru na wenzake wafanye nn?
 
Nadhani ungebadilisha kichwa cha habari, kina mislead, wale wabunge wa Chadema walitoka bungeni na haina maana ni "Kutomsikiliza KIKWETE", mimi naamini walimsikiliza kupitia luninga.

Anzisha thred yako yenye kichwa cha habari unachokitaka.
Hujazuiwa ni haki yako.
 
kanuni za bunge unazo!kwani CHILIGATI ameahidi kuzi2mia kuwaadhibu wabunge waliotoka nje ya ukumbi
 
tujadili kwani hata waandishi wa habari tena wahariri leo wameandika editorial kuwa CHADEMA walikosea na walivunja katiba na sheria ila hakuna aliyetaja kifungu wamekuwa kama CHILIGHATI. Yafaa wakasaidiwa kwani waandishi wetu wamekuwa wakilishwa maneno na wanasiasa na bila kusoma wanayabeba. hebu fikiri NIPASHE na habari leo wanaandika tahariri,unategemea uhuru na wenzake wafanye nn?

Ni kweli kabisa, hata asubuhi nilimsikiliza Mkosamali kuna swali aliulizwa matokeo yake alijibu kivingine. Ila kwasababu kinachozungumzwa kinaeleweka, hakuna haja ya kutafuta umaarufu humu jamvini. Ukweli ni kwamba kitendo cha wabunge wa chadema kutoka nje ya bunge wakati Msanii anaanza kuchonga ni cha KISHUJAA wa hali ya juu, vilevile hawakuvunja sheria ya nchi hii, labda kwa mujibu wa udikteta maana maamuzi yake hayapo kimaandishi.
 
Back
Top Bottom