Nimefuatilia matamko na matamshi mbalimbali yaliyotolewa na viongozi wa kisiasa,dini,wanataaluma. Nilichoona ni kuwa watanzania hawaijui katiba wala sheria za nchi yao..?
PIA wengi wanaogopa kukabiliana na changamoto zenye ukweli, ila pia hawapendi kuona viongozi wakielezwa ukweli hadharani kwa kisingizio kuwa ni kuwavunjia heshima .
Yafaa sasa wakajua kuwa hata kwenye mikutano ya UN wapo viongozi kama mugabe na rais wa I RAN waliwahi kukimbiwa na viongozi wenzao pindi walipoanza kuhutubia,hivyo CHILIGHATI na wenzake yafaa wajifunze ukweli huu.
Natoa changamoto -