Kutomjibu Kenyata, Magufuli kafanya kitu kizuri sana

Sodabeer

Member
May 17, 2020
61
138
Wakenya walikuwa standby kusikiliza ICON wa Africa, jiwe na mzee wa Chato amjibu Rais wao..Magufuli kakaa kimya... safi sana.

Waache wajifungue wajipe lockdown wakimaliza tupawapelekea chakula kwa bei kubwa.
Huwezi fungia watu wako wakati unajua kabsa wengi ni hand to mouth..Kenya yenyewe ni Kanchi maskini..watu wake wanaishi kwenye slums.
ATAJIBIWA KWA ACTIONS TU..WAIT AND SEE..
 
Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?
 
Alikuwa kusali Leo ..... kwenye kuapisha ndo atalizungumzia hilo ngoja washauri wampe mawazo mazuri
 
Sodabeer,
Sawa.......huo ndo ukweli hata yeye leo kamquote Kikwete kua za kuambiwa changanya na zako halafu aliwahi kusema watz sio wajinga mimi ni mmoja wa hao aliowasema mkuu sana wa jamhuri ya watu wa Chato
 
Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?
Rudia tena hotuba ile ya rais haku conclude kwamba vifaa vinamatatizo alisema inawezekana ni vifaa au wataalamu wetu au maabara yetu ya taifa au kuna watu wanatumika akashauri uchunguzi pia ufanyike
Tusiweke habari nusu nusu ili malengo yetu yatimie
 
Kenyatta akitembelea Tena Chato apewe zawadi ya mabundi 🦉🦉🦉🦉🦉🦉🦉 maana naona Sasa urafiki umevunjika.
Na wale tausi tuwatume wale wachawi wa kikosi maalum kutoga Gamboshi, wakawaroge, ile korona ya kwenye kwale ihamie kwa wale tausi, wapate changamoto ya kupumua a.k.a korona na wafe kabisa
Ufipa Mmekuwa dissapointed sana hajajibu kitu!
 
Rais wa Rwanda na Mwenzake wa Kenya wamekubaliana Rwanda kupata bandari kavu nchini humo ili sasa Rwanda ianze rasmi kupitisha mizigo yake yote kupitia Bandari ya Mombasa.
 
una exaggerate
Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni mihemko tu.. mbona bandali ya isaka aliifanyia nini.. utaona watarudi tu.. Kenya na Rwanda ni mbali sana.. na hivyo mizigo itachukua hadi siku 10.. wakati huku ni siku 2 tu
 
Usiamini dereva kukutwa na Corona wewe..tumia akili uache ujinga! tukose Corona kwenye mabasi na minada aje apate Corona dereva anaetembea peke yake kwenye roli au wawili na tingo wake?tena maderva wote wanaotoka Tanzania?huoni hiyo ni waKenya wamelipwa na mabeberu kufifisha uchumi wetu ili waje kwa sura ya kutoa msaada wakitengeneza njia za kurudi Kakola,Geita na kwingineko kupora mali zetu..ukisema ugonjwa upo kama unavyosemwa wewe hapo au jirani yako na rafiki yako umefiwa na mtu kwa Corona?kuna misiba mtaani kama mnavyo aminishwa? shughulisheni vichwa vyenu bana
Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Ikiwa Rais yeye mwenyewe kwa kinywa chake alikili kuwa mashine za kupimia virusi vya Covid-19 zina matatizo, imewezekanaje akazipata takwimu hizo za wagonjwa wa Corona?
Amewezaje kuziamini takwimu hizo kama ni sahihi?

Ikiwa maendeleo dhidi ya udhibiti wa ugonjwa wa Corona nchini ni mazuli, inakuwaje madereva wa magari ya mizigo kutokea upande wa Tanzania wakutwe na maambukizi ya virusi vya Covid-19?
Na kwa nn Kenya na Uganda ni madreva, madreva, madreva!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom