Unataka kutuaminisha kuwa yule Afande aliyejuruiwa kwenye tukio la kifo cha D. Mwangosi naye ni MwanaChadema?Kuuliwa alijitakia mwenyewe, unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.
Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? maana Slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia Mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?
Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, Watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.
Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na Slaa kufanya fujo.
wa sababu mwangosi ni binaadamu ambaye kwa namna yeyote hakupaswa kufa kama vile,na kwa sababu mama huyu ni binaadamu basi na tumuombe mungu siku moja amfikishie mmoja kati ya wanae janga kubwa kama la mwangosi au zaidi ya lile ili auamshe uchungu wa huyu mama na siku ingine akumbuke kuchunga mdomo wake pale mabaya yatakapomfika binaadamu mwenzie.eeee mungu mjaalie majanga baba ili siku nyingine ajifunze kutoa haki na kuihubiri.japo mimi ni mpagani.
Tuanze kwa kujikumbusha huyu msemaji wa Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Mama Advera Senso alivyosema kuhusu kifo cha Mwandishi, Daud Mwangosi;
- Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi.
- Marehemu inasemekana alipigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike.
- Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi.
- Jeshi la polisi limewakamata 32 waliokuwa wakienda Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi.
Mpaka sasa najiuliza...hivi hali ingekuwaje kama picha zinazoonesha jinsi tukio zima lilivyotokea hazingekuwepo, lakini sipati jibu. Lililo wazi kabisa ni kwamba Chadema ingejikuta katika hali ngumu kweli kweli kwa sababu ingehusishwa moja kwa moja na kifo cha mwandishi Daud Mwangosi. DW, BBC, Aljazeera na vyombo vingine vya habari vya nje habari kuu ingekuwa Tanzania, kisiwa cha amani, yakabiliwa na hatari ya machafuko kutokana na kitendo cha chama cha vurugu...Chadema kumuua mwandishi wa habari.
Mpango ulisukwa ukasukukika na kuna watu wanalaani kwa nini haukufanikiwa kama ulivyopangwa na mbinu bado zinatafutwa za kuwajumuisha viongozi wa Chadema na kifo hiki. Lakini Mungu mkubwa...safari hii akasema imetosha, watu wangu wameteseka vya kutosha mikononi mwa hawa waovu! Watanzania tumepewa ishara na ndio sababu kubwa wasimamizi wakuu wa mpango huu hawawezi kutoa tamko lolote hadi sasa kwani giza nene limetanda mbele ya macho yao, wamepigwa butwaa na midomo imewakauka.
Sasa wameachiwa mavuvuzela kama Tendwa, Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Halimoja, na vikaragosi vingine tunavyovishuhudia humu jamvini wakiongozwa na zomba, Ritz na wengineo. Lakini safari hii wamegonga mwamba na hawana pa kutokea, laana inawaandama kama kivuli na muda si mrefu wataanza kuumbuana kwani damu ya Daud Mwangosi haitowaacha wapate usingizi. Msemaji wa Polisi, ASP Advero Senso kaa chonjo, matamko unayoyatoa ni sawa na ya aliyekuwa msemaji wa Sadam Hussein, Tarik Aziz!
kwa uwezo wa mungu ninaweza kufa kabla ya zomba lakini akifa kabla yangu nitafurahi sana nimemvumilia maneno yake ya kikatili siku nyingi leo naweka nukta hapa.Zomba please you above this..Kwa hiyo akiwa mwanaChadema ndio inaswihi auawe?..Polisi wana jukumu la kumlinda nani kama sii mwananchi au Chadema hawa sii wananchi maana tuwe tunajiuliza maswali magumu japokuwa tuna mapenzi yetu badala ya kuwa kama wale waarabu wanaoua hata waandishi wa habari kwa sababu ni Wazungu na ni maadui zao..
ni kama vile kachangu kamevikwa nguo za jeshi sasa kanakiuka maadili ya kazi yake ila ipo siku yatakitokea chenyewe pambaff.
Msemaji wa aliyekuwa rais wa Iraq enzi hizo A. Sahaf!.
Tuanze kwa kujikumbusha huyu msemaji wa Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Mama Advera Senso alivyosema kuhusu kifo cha Mwandishi, Daud Mwangosi;
- Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi.
- Marehemu inasemekana alipigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike.
- Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi.
- Jeshi la polisi limewakamata 32 waliokuwa wakienda Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi.
Mpaka sasa najiuliza...hivi hali ingekuwaje kama picha zinazoonesha jinsi tukio zima lilivyotokea hazingekuwepo, lakini sipati jibu. Lililo wazi kabisa ni kwamba Chadema ingejikuta katika hali ngumu kweli kweli kwa sababu ingehusishwa moja kwa moja na kifo cha mwandishi Daud Mwangosi. DW, BBC, Aljazeera na vyombo vingine vya habari vya nje habari kuu ingekuwa Tanzania, kisiwa cha amani, yakabiliwa na hatari ya machafuko kutokana na kitendo cha chama cha vurugu...Chadema kumuua mwandishi wa habari.
Mpango ulisukwa ukasukukika na kuna watu wanalaani kwa nini haukufanikiwa kama ulivyopangwa na mbinu bado zinatafutwa za kuwajumuisha viongozi wa Chadema na kifo hiki. Lakini Mungu mkubwa...safari hii akasema imetosha, watu wangu wameteseka vya kutosha mikononi mwa hawa waovu! Watanzania tumepewa ishara na ndio sababu kubwa wasimamizi wakuu wa mpango huu hawawezi kutoa tamko lolote hadi sasa kwani giza nene limetanda mbele ya macho yao, wamepigwa butwaa na midomo imewakauka.
Sasa wameachiwa mavuvuzela kama Tendwa, Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Halimoja, na vikaragosi vingine tunavyovishuhudia humu jamvini wakiongozwa na zomba, Ritz na wengineo. Lakini safari hii wamegonga mwamba na hawana pa kutokea, laana inawaandama kama kivuli na muda si mrefu wataanza kuumbuana kwani damu ya Daud Mwangosi haitowaacha wapate usingizi. Msemaji wa Polisi, ASP Advero Senso kaa chonjo, matamko unayoyatoa ni sawa na ya aliyekuwa msemaji wa Sadam Hussein, Tarik Aziz!
Tuanze kwa kujikumbusha huyu msemaji wa Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Mama Advera Senso alivyosema kuhusu kifo cha Mwandishi, Daud Mwangosi;
- Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi.
- Marehemu inasemekana alipigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike.
- Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi.
- Jeshi la polisi limewakamata 32 waliokuwa wakienda Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi.
Mpaka sasa najiuliza...hivi hali ingekuwaje kama picha zinazoonesha jinsi tukio zima lilivyotokea hazingekuwepo, lakini sipati jibu. Lililo wazi kabisa ni kwamba Chadema ingejikuta katika hali ngumu kweli kweli kwa sababu ingehusishwa moja kwa moja na kifo cha mwandishi Daud Mwangosi. DW, BBC, Aljazeera na vyombo vingine vya habari vya nje habari kuu ingekuwa Tanzania, kisiwa cha amani, yakabiliwa na hatari ya machafuko kutokana na kitendo cha chama cha vurugu...Chadema kumuua mwandishi wa habari.
Mpango ulisukwa ukasukukika na kuna watu wanalaani kwa nini haukufanikiwa kama ulivyopangwa na mbinu bado zinatafutwa za kuwajumuisha viongozi wa Chadema na kifo hiki. Lakini Mungu mkubwa...safari hii akasema imetosha, watu wangu wameteseka vya kutosha mikononi mwa hawa waovu! Watanzania tumepewa ishara na ndio sababu kubwa wasimamizi wakuu wa mpango huu hawawezi kutoa tamko lolote hadi sasa kwani giza nene limetanda mbele ya macho yao, wamepigwa butwaa na midomo imewakauka.
Sasa wameachiwa mavuvuzela kama Tendwa, Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Halimoja, na vikaragosi vingine tunavyovishuhudia humu jamvini wakiongozwa na zomba, Ritz na wengineo. Lakini safari hii wamegonga mwamba na hawana pa kutokea, laana inawaandama kama kivuli na muda si mrefu wataanza kuumbuana kwani damu ya Daud Mwangosi haitowaacha wapate usingizi. Msemaji wa Polisi, ASP Advero Senso kaa chonjo, matamko unayoyatoa ni sawa na ya aliyekuwa msemaji wa Sadam Hussein, Tarik Aziz!
Kuuliwa alijitakia mwenyewe, unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.
Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? maana Slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia Mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?
Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, Watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.
Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na Slaa kufanya fujo.
Zomba please you above this..Kwa hiyo akiwa mwanaChadema ndio inaswihi auawe?..Polisi wana jukumu la kumlinda nani kama sii mwananchi au Chadema hawa sii wananchi maana tuwe tunajiuliza maswali magumu japokuwa tuna mapenzi yetu badala ya kuwa kama wale waarabu wanaoua hata waandishi wa habari kwa sababu ni Wazungu na ni maadui zao..
kuuliwa alijitakia mwenyewe,
unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.
Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? Maana slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?
ukweli ubaki kuwa ukweli.
Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.
Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na slaa kufanya fujo.
Kwa hiyo unataka hata Polisi wangeandikwa wana CCM badala ya Polisi sio?Kuuliwa alijitakia mwenyewe, unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.
Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? maana Slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia Mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?
Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, Watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.
Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na Slaa kufanya fujo.
tena lilikuwa bomu la moto, walilenga kulilipua katika haraiki, walitaka waseme ni chama cha kigaidi.