Kwa hakika katika mkoa ambao Una madhari nzuri Na ya kuvutia Ni mkoa Wa Kilimanjaro. Watu wamejitahidi kila nyumba Ina maua mazuri fence ya kuvutia sehemu nyingne kuna migomba Na kahawa zilizopangiliwa vizuri nyumba za kisasa Ni moja ya sehemu ambayo ukivuta hewa haina chembechembe ya sumu nyingi kumbuka mimea uwa inafyonza hewa yenye sumu.
Pia unaweza pata vyakula vya asili Kama ngararimu pombe ya asili mbege mlima Kilimanjaro ; hali ya uoto Wa asili eneo kubwa Ni kijani Na kulingana Na wataalamu Wa saikolojia rangi ya kijani/bluu inaongeza furaha ya binadamu ndo maana unakuta social networks nyingi Kama fb twitter wasp wanatumia hizo rangi...
Mengne mazuri wataweka wadau wanaoenda kula sikuku msimu huu Wa x mass wito kwa wasio wachaga msikubali kukosa Ku enjoy madhari nzuri ya uchagani kwa kupotoshwa wachaga wanaenda kula sikuku makwao..
Na nyie ni nafasi yenu ya kwenda kujioneo mkoa huu Wa kuvutia Na Una hamasisha kumalizia skuku yako huko ... hebu Fikiria wazungu wanapanda flight kuna Kilimanjaro mda mwingi wanaishia kuzunguka kuona madhari ya mkoa Na kutumia mda kidogo kupanda mlima..hlfu we upo Tanzania hutaki kufurahia madhari nzuri ya nchi yako....
Mi ndo najiandaa tarehe 24 nikatembelee mkoa huu kwa hakika uhishiwi hamu ya kuuona....
Bila kusahau watu wa mkoa wa kilimanjaro ni wakarimu na wacha mungu sana...