Kutokwa na maji maji sehemu za siri kwa mwanaume

Jason chagga

Member
Aug 3, 2012
15
4
Wadau kwema kuna hali nimeipata hivi karibu nikiamka hasubuhi nakuta boksa imechafuka maji maji au hali kama maziwa maziwa hivi inaweza kuwa tatizo nini.
 
Picha itapendeza ili uweze kusaidiwa haraka.
 
Wadau kwema kuna hali nimeipata hivi karibu nikiamka hasubuhi nakuta boksa imechafuka maji maji au hali kama maziwa maziwa hivi inaweza kuwa tatizo nini.
Eti
JamiiForums-1133332532_480x464.jpg
 
Back
Top Bottom