Kutokwa na damu kama ya hedhi wakati wa ujauzito

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,315
6,644
Wakuu,wataalamu wa afya,kama nilivyoandika hapo juu,mke wangu ni mjamzito,lakini ana tatizo limejitokeza leo mara ya pili,mwezi uliopita ujauzito wake ulikuwa na miezi mitatu.

kuna siku zilimtoka damu tukashtuka sana,hiyo hali haikuendelea tena ila leo mchana imejirudia,je nini chanzo au sababu ya kutokea hali hii?ni kawaida au ni kwa mke wangu tu?

Nimeamua niulize ili nijue kama ni tatizo ili kesho nimuwahishe hospitali,naombeni msaada wenu nieleweshwe,imenichanganya kidogo wakuu!
 
nenda tuu hospitali braza.inaweza ikawa mimba inatoka hivo.nenda kesho utuletee mlejesho sawa braza.pole sana
 
Mkuu mmeshapata ushauri wa daktari? Mngeenda kucheki hospitali usipuuzie sio hali ya kawaida hiyo
 
Back
Top Bottom