Tatizo la kutokwa na damu kwenye fizi: Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

afrodenzi[/MENTION] Me too Thank you nime ku miss sana mkuu Lizzy hakukupatia ujumbe wangu?
MziziMkavu ..

afrodenzi mimi nipo wakati wote nawachunga Wagonjwa wangu humu J.f. Doctor vipi hujambo bibie?

MziziMkavu
Ujumbe Lizzy hakunipa unahusu nini?

Mi sijambo kabisa ..
Ila nina hitaji matibabu maalum kutoka kwako :) if you don't mind.
 
Last edited by a moderator:
For the same problem you can also use forever bright tooth gel.ni dawa ya meno ambayo kiukwel ni nzuri.google kwa kuandika hilo jina na isome
 
:shetani:Kijana wangu ana tatizo la kutokwa na damu pindi anapopiga mswaki au anapojigonga maeneo ya mdomoni bado sijajua ni vitamini au tayari ugonjwa kwani mswaki anapiga mara zote anapomaliza kula na anazingatia kanuni za afya. kimtazamo ni kijana mwenye afya njema, tatizo kubwa ni hilo na kwa upande wa ulaji wa matunda na mboga za majani ni swala linalopewa kiupaumbele kwenye familia yangu kwa hiyo sina hofu na hilo..je kuna mtu mwenye dawa mbadala ya kuondoa tatizo hilo, dawa anayotumia sasa ni kutukutua (mouth wash) Lakini bado sioni improvement kubwa.
 
Ok! Bleeding gums ni tatizo la ukosef wa vitamin c,kama anakula matunda na mboga za majan vinzuri hakutegemewa kuwa na tatizo hilo lakin unaweza kubadilisha dawa ya mswaki itafute dawa inaitwa forever bright tooth gel.inasaidia sana kwa wenye matatizo ya meno kuuma,haruf mbaya mdomon, kutoka kutoka dam kwenye fiz na mengine mengi.inauzwa elf 13.
 
Wakuu ninatatizo moja linanisumbua kwa muda mrefu sasa, fizi zangu huwa zinatoa damu na pia kuuma na isitoshe kama nakula kwakutumia kijiko na kijiko kikakwangua kwenye sahani meno yanakua kama yanakufa ganzi sio mara zote lakini hili ndio tatizo linalonisumbua, kabla sikakwenda kwa Dokta najua hapa kuna ushauri mzuri kutoka kwa Madokta. Nawasilisha.
 
Piga mswaki. Pia hakikisha unapata vitamin c ya kutosha, hii inapatikana kwenye matunda ya citrus so machungwa, ndimu etc. Au nunua multi vitamin duka la dawa.
 
Vitamin c. Kula matunda mengi. machungwa, chenza, maembe, papai n.k
Wakuu ninatatizo moja linanisumbua kwa muda mrefu sasa, fizi zangu huwa zinatoa damu na pia kuuma na isitoshe kama nakula kwakutumia kijiko na kijiko kikakwangua kwenye sahani meno yanakua kama yanakufa ganzi sio mara zote lakini hili ndio tatizo linalonisumbua, kabla sikakwenda kwa Dokta najua hapa kuna ushauri mzuri kutoka kwa Madokta. Nawasilisha.
 
Wakuu ninatatizo moja linanisumbua kwa muda mrefu sasa, fizi zangu huwa zinatoa damu na pia kuuma na isitoshe kama nakula kwakutumia kijiko na kijiko kikakwangua kwenye sahani meno yanakua kama yanakufa ganzi sio mara zote lakini hili ndio tatizo linalonisumbua, kabla sikakwenda kwa Dokta najua hapa kuna ushauri mzuri kutoka kwa Madokta. Nawasilisha.

Suluhisho la muda mfupi : Anza kutumia vidonge vya vitamin C..... Dosage advise muone daktari ama registered pharmacist atafanya prescription.
Suluhisho la muda mrefu: Tumia vyakula ambavyo ni rich kwa vitamin C kama matunda ya aina ya machungwa, limau, pear (All citric fruits) Pia mboga za majani, papaya kwa wingi katika kila mlo..... Pata ushauri kutoka kwa Nutritionist Tanzania wapo wengi saaaana.

Ni hayo tu mkuu
 
Asanteni nitazingatia ushauri wenu lakini ngoja nikamuone Dr. then nitawajulisha.
 
kuna dawa nitakwambia jumatatu nimesahau jina,unajua hiz dawa za mswak tunazotumia azifai,ukitumia uoni uchafu ukitoka unajua meno masafi kumbe wizi mtupu,nitakwambia jumatatu usijali mkuu
 
Muhimu ni kumuona daktali wa karibu,ili upate tiba inaitwa kusafisha meno(scalling).na kupata ushauri mwingne
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom