Kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa wakati wa ujauzito kunasababishwa na nini?

Sasa mimba sindio inasababisha asiwe na hamu kwaiyo tatizo litakuwa ni nini
Tatizo limeanza baada ya kuwa na mimba huoni mimba ndo tatizo hapo. Pia kawaida wanawake wenye mimba huwa na mood swings hivyo ni vema kwa kipindi hicho mwanaume kuwa mvumilivu na mabadiliko yoyote.
 
Yaani round ya kwanza inaisha , unataka tena 2nd round.
Nilichogundua Alkasusi na mkongo vimekuharibu.
Mapenzi si bao nyingi.
 
Mimi huwa nafanya hivi, nikiona mwenzangu anakosa hamu basi huwa namtoa out nampeleka hotelin tunaenda kushinda huko, basi mkikaa huko lazima mtashiriki tu, tumeshaambiwa wanawake tuishi nao kwa akili,
 
Tatizo kubwa sana la hawa wake zetu ni baadhi yao kutokuwa na maarifa. Mume sio lazima kila anapohitaji kutoumba apewe uke tu la hasha, anaweza kusaidiwa hata kwa njia tofauti tofauti kama vile kuchezewa mbo.o kwa mikono hadi anakojoa mambo yanakuwa yanaenda barabara...
Aaaah si bora nikat.mbe huko nje, yani nijisugue kwenye mapaja wa mwanamke?
 
Ni maamuzi ya mtu binafsi na sio kesi ikiwa haitasababisha athari kwenye ndoa yako
Ni kweli Kabisa, ila kwangu ni jambo la aibu na udhaifu uliopitiliza kama utashindwa kumuelewa mkeo akiwa hajisikii kurudia tendo uanze kut.mba mapaja na nyuma magoti, hapa ndio hata heshima ya mwanume inashuka katika familia
 
Halafu wanandoa muwe mnaomba/msali sana kuna ma spiritual husband/wife, mnaweza mkawa mnagombana kila siku kumbe root cause ni swala la ki spiritual
 
Hahahaaa, usiseme eti hujui cha kufanya hapo. Mm nlibaniwa first month alivoconcive, mtt ana miezi 2 ila nina mimba ingine nje anajifungua miezi 3 ijayo
Mpaka sasa bado nipo exile
Kwa hiyo umemtenga mkeo?
 
Tatizo kubwa sana la hawa wake zetu ni baadhi yao kutokuwa na maarifa. Mume sio lazima kila anapohitaji kutoumba apewe uke tu la hasha, anaweza kusaidiwa hata kwa njia tofauti tofauti kama vile kuchezewa uume kwa mikono hadi anakojoa mambo yanakuwa yanaenda barabara.

Mke anaweza kumpa ushirikiano mumewe kwa kumruhusu akaisugua uume yake katika mapaja ya mama watoto wake akakojoa akamaliza hamu maisha yakaendelea.

Sisi wanaume pia tumekariri mno!. Kimsingi sisi tunakuwa na hamu ya mara kwa mara ya kufanya mapenzi ukilinganisha na wake zetu. Sio lazima kila ninapohitaji kkusex na mke anipe uchi tu hapana, ukizingatia kama hivo mkeo ni mjamzito. Zungumza nae kirafiki akusaidie hata kukumasaji kisha ukisisimka mwili wako anaweza akakuchua hata kwa kutukia mapaja yake pale kati pasipo kuingiza uume wako ukeni mwake hadi unakojoa mambo yanaenda. Kutumia ubabe tu kwamba kwakuwa mimi ni mwanaume na yeye ni mke wangu kwahiyo kila nikiwa na hamu ni lazima anipanulie miguu sidhani kama inafaa.

Ni ubunifu tu mnakaa na mkeo mnajadiliana mnasaidiana maisha yanasonga, vinginevyo unaweza kujikuta unaanza kuchepuka kwa issue ambayo mngeelewana na mkeo kwa kujadiliana wala isingetokea
Aksante kwa maelezo mazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom