Kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa wakati wa ujauzito kunasababishwa na nini?

Rayz

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
337
257
Wakuu salaam!

Mimi na mke wangu tuna watoto watatu, kwa sasa ni mjamzito. Tatizo ni kuwa katika ujauzito huu hana hamu kabisa ya tendo la ndoa, muda mwingine raundi ya kwanza ikiisha hataki kurudia. Je, tatizo laweza kuwa nini? Au ni hali ya kawaida?
 
Tatizo kubwa sana la hawa wake zetu ni baadhi yao kutokuwa na maarifa. Mume sio lazima kila anapohitaji kutoumba apewe uke tu la hasha, anaweza kusaidiwa hata kwa njia tofauti tofauti kama vile kuchezewa uume kwa mikono hadi anakojoa mambo yanakuwa yanaenda barabara.

Mke anaweza kumpa ushirikiano mumewe kwa kumruhusu akaisugua uume yake katika mapaja ya mama watoto wake akakojoa akamaliza hamu maisha yakaendelea.

Sisi wanaume pia tumekariri mno!. Kimsingi sisi tunakuwa na hamu ya mara kwa mara ya kufanya mapenzi ukilinganisha na wake zetu. Sio lazima kila ninapohitaji kkusex na mke anipe uchi tu hapana, ukizingatia kama hivo mkeo ni mjamzito. Zungumza nae kirafiki akusaidie hata kukumasaji kisha ukisisimka mwili wako anaweza akakuchua hata kwa kutukia mapaja yake pale kati pasipo kuingiza uume wako ukeni mwake hadi unakojoa mambo yanaenda. Kutumia ubabe tu kwamba kwakuwa mimi ni mwanaume na yeye ni mke wangu kwahiyo kila nikiwa na hamu ni lazima anipanulie miguu sidhani kama inafaa.

Ni ubunifu tu mnakaa na mkeo mnajadiliana mnasaidiana maisha yanasonga, vinginevyo unaweza kujikuta unaanza kuchepuka kwa issue ambayo mngeelewana na mkeo kwa kujadiliana wala isingetokea
 
Tatizo kubwa sana la hawa wake zetu ni baadhi yao kutokuwa na maarifa. Mume sio lazima kila anapohitaji kutoumba apewe uke tu la hasha, anaweza kusaidiwa hata kwa njia tofauti tofauti kama vile kuchezewa mbo.o kwa mikono hadi anakojoa mambo yanakuwa yanaenda barabara...
Genius
 
Aaaaahhh sasa umeoa inamaana umejitoa kwenye CHAPUTA alaf tena unaenda huko unakutana nayo mweeeeeehhh mambo gani hayo si bora ni chepuke tu
 
Aaaaahhh sasa umeoa inamaana umejitoa kwenye CHAPUTA alaf tena unaenda huko unakutana nayo mweeeeeehhh mambo gani hayo si bora ni chepuke tu
Ni maamuzi yako tu ndugu lakini kiuhalisia mke hawezi kumudu matamanio ya mume kila anapohitaji kusex naye kwakuwa mahitaji ya tendo ni makubwa zaidi kwa mwanaume ukilinganisha na mwanamke.

Mwanamke anaweza akawa anamahitaji ya kusex na mume mara tatu kwa mwezi mzima wakati mwanaume katika kila masaa ishirini na nne anaweza kuhitaji kusex na mkewe hata mara tatu
 
Mimi naona ni swala la kujitambua tu wewe nafasi yako katika ndoa, ukitambua hilo basi, msiruhusu tendo la ndoa kuwatenganisha, mpeane tu hata kama hamu hakuna
 
Ni maamuzi yako tu ndugu lakini kiuhalisia mke hawezi kumudu matamanio ya mume kila anapohitaji kusex naye kwakuwa mahitaji ya tendo ni makubwa zaidi kwa mwanaume ukilinganisha na mwanamke.

Mwanamke anaweza akawa anamahitaji ya kusex na mume mara tatu kwa mwezi mzima wakati mwanaume katika kila masaa ishirini na nne anaweza kuhitaji kusex na mkewe hata mara tatu
Bora kulamba ukwaju tu mzee sio habari za chaputa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom