Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,804
I had to change...nilikuwa na MinaziMbona avatar imejielezea,
I had to change...nilikuwa na MinaziMbona avatar imejielezea,
Maybe you have other reasons.I had to change...nilikuwa na Minazi
Baada ya kuitwa Bro ndio nikabadili....Maybe you have other reasons.
Not fair at all,Baada ya kuitwa Bro ndio nikabadili....
No other reasons
Nifanyeje sasa?Not fair at all,
Mkuu nipe kazi hiyo mimi aisee hautajutiaElimu ya kwenye vyeti ni tatizo kubwa sana hili suala hutaliamini ila nakuhakikishia wasomi wengi wa kitanzania wanakosa ajira hapa namaamisha kujiajiri na kuajiriwa pia,,,ni kama wiki mbili zilizopita ofisin kwetu tulikua tunahitaji wanne mabinti watatu mwanaume mmoja ila kubalance gender kwan waliopo wote ni vidume nikaanza kutangaza hyo kazi ilikuwa ni post ya afisa mauzo kwenye bank kubwa tu nilibahatika kupata CV za wasichana wawili walikuja ofisin nikapannga siku ya interview huwezi amin nlpoanza kuwaeleza job description kuwa watakua wanaenda kutafuta wateja kwenye makampuni kwa ajili ya mikopo na accounts then watakuwa wanalipwa kwa commission na mtu una uwezo wa kujilipa hadi million tano it depends na volume ya mikopo yako...wakawa inspired sana walipoanza kazi ndo vituko sasa wanakwambia mm na degree yangu nianzu kuzurura juani kama machinga hawakudumu hata mwez wakakmbia..
Nilinote kitu hizi taalum za kwenye makaratasi ni upuuzi sana znafanya tusiwe committed,tuwe na negative mindset juu ya kaz fulani
Rudisha iliyokuwa mwanzo,Nifanyeje sasa?
Rudisha iliyokuwa mwanzo,
Mimi naona hujajitendea haki.
Wakati nasubiri matokeo ya form four nilifanya kazi kama gardener nikaja nikafanya kazi ya ufundi seremala.Vijana wa Leo hii in woga wa kazi mfano alietoka Chuo kikuu kupiga zege au kusukuma toroli hawezi.