Bitrus
Member
- Jan 8, 2019
- 37
- 24
Habari, Nahitaji msaada wenu.
Katika kukua kwangu nilipata hedhi mda mchache ikasimama... Miaka mingi imepita na nilivyofuatilia sana nikaambiwa mayai hamna kabisa. Inaniuma sana kua umri unaenda na sintaweza pata mtoto.
Nimehangaika sana kutafuta tiba hospitalini na tiba asili bila mafanikio. Naomba mwenye ushauri wa ziada anisaidie na kama kuna mtu aliwai kutana na tatizo hili akafanikiwa kupona anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app