Elections 2010 kutokumtambua rais aliyeko madarakani

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,475
573
je ni kosa kisheria kutokumtambua kikwete kama rais wangu?kwani simpendi
 

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,681
7,245
Sio wewe tu usiempenda, asilimia 39 ya waliopiga kura (kwa mujibu wa uchakachuzi wa NEC) wamemkataa. So sioni tatizo
 

Obama08

Senior Member
Sep 17, 2010
181
1
my president is Dr Slaa i declared already, it is my legal right, my choice, my role model politician, don't push me, don't force me, kwa nisiye mtaka, so ni haki yetu kusema tunayemtaka, period
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom