Kutokea Hospital ya Regency Upanga, Kukosekana Mtandao wa NHIF kwaleta kero kubwa kwa Wagonjwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,694
Mrejesho: Saa 8:40

Huduma zimerejea baada ya mtandao kurejea

Saa 7:43 mchana

Kuna idadi kubwa ya wagonjwa waliokaa na waliosimama bila huduma

Taarifa zinaeleza kuna tatizo la Mtandao kutopatikana kabisa au kwa shida sana

Hakuna huduma kwa wagonjwa wa NHIF wanaosubiri kupatiwa tiba kulingana na changamoto zao za kiafya.

Tuombeane kheri Watanzania
 
Maza nchi imezidi nguvu.
 
Back
Top Bottom