Kutokana na ujumbe huu na taarifa zilizopo hapo nikitaka ku-appeal naappeal vipi/wapi?

Mimi mamayangu analia tu kilasaa nimemwambia asiwaze nikikosa nitapambana na vibarua popote nimeki nisome mwakani.

Nimekutaujumbe kamahuo na bado upo katika account yangu.

Naomba Mungu anisaidie na ampe mamayangu moyo wa subira nadhani ameumia kuliko mimi daah.
Pole yako binafsi kwanza kwasababu unaamini unachokiamini.

Mpe Pole yake Bi Mkuu, kama ulivyosema Mwenyezi Mungu ampe Moyo wa Subra!
 
Wadau,Kuna mtu yeyote ambae ameweza kufanya marekebisho kwenye account yake.Naombeni majibu ndugu zangu Kama yupo huyo mtu nahitaji msaada.
 
Ndo Yaleyale niliyosema ni kupeana Moyo kwenye HAMNA.. Batch nane za kutokea wapi.. Hali ya kuwa hii ya 2 tu imetoka kwa mbinde..
Me sipendi kujifariji gizani kiasi hcho.. Msoto niliopitia nikiwa naomba mkopo, na stress nilizopata wakat nasubir mkopo hadi leo hii mungu ndo anajua.. Hebu ni-give up about that niendelee kupambana na mtaa haya mambo yatanikondesha indeed
Mimi Niko chuo mkuu ninachokueleza kiamini.

Utaishi kwa tabu ndio lakini mpka mwisho wa December wengi wanakua wamepata.
 
KUNA ALIYEBAHATIKA MIMI NIMEKUTA HIVI NIFANYEJE?
Screenshot_20201202-105711.jpg
 
Mm pia nimekuta ujumbe kama huo wa chalii hapo juu.. Naamini kuwa nimekosa ila mbonasehemu ya kuappeal siioni.. Maana mm sasa hata sins presha kabisa na huu usenge wao..kila siku ni vioja tu
 
Mbona wamekueleza wazi pakwenda kwenye huo ujumbe ili upate majani yako
 
Back
Top Bottom